Recent content by elimumali

  1. elimumali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Maneno yako sahihi kabisa, Una upeo mzuri wa kupima facts
  2. elimumali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Maneno yako sahihi kabisa, Una upeo mzuri wa kupima facts
  3. elimumali

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kuzuia wapinzani wasifanye siasa nchini mwao??

    And you are Very Right. Hiyo mikutano inayosisitizwa iruhusiwe kufanyika ni kwenda kuwatia sumu ya chuki wananchi dhidi ya Serikali, kutoa kejeli na kutoa majina mabaya kwa Mtukufu Rais. Sasa hivi yuko serious kuijenga nchi na anazifanyia kazi changamoto zote zinazojitokeza wakati wa utendaji...
  4. elimumali

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na aliyenusurika katika shambulio lililoua askari wanne

    Shukran kwa taarifa hii na kauli nzuri za maelekezo. Inasikitisha kuona mwanadamu anamkasifu mlinda usalama badala ya kulaani majambazi. Wao ni walinda usalama popote pale hata ktk mikutano hiyo kwakuwa haijaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama kwakuwa kauli nyingi zinaashiria uvunjifu wa...
  5. elimumali

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Hakuna haja ya kuandamana kudai katiba iheshimiwe kwani Mahakama si ipo? Maandamano, na mikutano inayoambatana na kauli za kashfa na matusi mara nyingi huzaa uvunjaji wa amani ndio maana inazuiwa. Kuna ubaya gani kufanya mikutano ya utulivu ya kuleta maendeleo ktk majimbo ya uchaguzi? Nakuunga...
  6. elimumali

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi, Mtukufu Rais Magufuli atatibu dalili na siyo matatizo ya Watanzania

    H Hakupingana na uzazi wa mpango kauli yake inamaanisha zaa idadi kubwa ya watoto kadri utavyoweza Bali mpangilio ktk kuwazaa Ni muhimu akiwa Rais analitambua hilo
  7. elimumali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Queen Esther I salute you!
  8. elimumali

    JamiiForums Tanzania Msijaribu kumdhururu Rais wetu Dr Magufuli

    Nadhani topic aibadili iwe Dua njema kwa Rais wetu
  9. elimumali

    JamiiForums Tanzania Msijaribu kumdhururu Rais wetu Dr Magufuli

    Ameen In sha Allah
  10. elimumali

    JamiiForums Tanzania Roho yangu Imetulia, Ni John Pombe Magufuli kwa awamu ya tano

    Shukraan mtoa mada uliyoongea yana uzito.
  11. elimumali

    JamiiForums Tanzania Naamini hapa ndio pa kuponea

    Very useful information. Asante sana mkuu, tutakuwa makini na vyombo vya chuma.
  12. elimumali

    JamiiForums Tanzania Naamini hapa ndio pa kuponea

    Asanteni sana wapendwa, Bakuza, Mamndenyi, Fe lady, The Fama, Ulimakafu, Baba Collings n.k. kwa mchango wenu. Ni kweli kabisa hapa JF panafaa sana kutafuta ushauri. Licha ya kupata ushauri wa kukusaidia pia unafarijika sana. Mwita25 amini hapa pia panaweza kuitwa hospitali, kwani idea...
  13. elimumali

    JamiiForums Tanzania Naamini hapa ndio pa kuponea

    Asante sana, ni kweli Mungu ndio wa kwanza katika yote. Nimeamini kuwa matatizo huwaweka watu karibu na Mungu. Yaani hata kama ulimsahau, yakikukuta utakuwa naye kichwani kwako masaa yote. Thanks
  14. elimumali

    JamiiForums Tanzania Naamini hapa ndio pa kuponea

    Thanks Bakuza Nashukuru kwa maelekezo yako.
Back
Top Bottom