Msijaribu kumdhururu Rais wetu Dr Magufuli

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,335
Mafisadi nawapiga deals najuwa mnahaha kutafuta pa kwenda na uwenda hata kutaman Magufuli apotee kama Sokoine. Ila nataka kusema kikundi ama watu ama mtu yeyote anaweza jitoa muhanga kumgusa Magufuli. Atachimbe kaburi lake na familia yake kabla yakutekeleza makusudi yake. Hakuna atakaye pona ikibidi hata panya ndani ya nyumba watakufa. Taifa hili tumechoka na mijizi. Tumechoka na mijitu mivivu.
 
Mungu atamlinda kwa jeshi la malaika kamwe hamtomuweza Rais wetu. Amezungukwa na ulinzi toka juu. Amen
 
Acha kunwazia mabaya wewe,waza mambo mazuri juu yake
 
Duh UKAWA inakufa sasa, CCM ya Nyerere inarudi kwa kasi
 
Tena wamuache kabisa. MAJIPU mengi yanahitaji TUMBULIWAAAA.. Hahahahaa
 
Mafisadi nawapiga deals najuwa mnahaha kutafuta pa kwenda na uwenda hata kutaman Magufuli apotee kama Sokoine. Ila nataka kusema kikundi ama watu ama mtu yeyote anaweza jitoa muhanga kumgusa Magufuli. Atachimbe kaburi lake na familia yake kabla yakutekeleza makusudi yake. Hakuna atakaye pona ikibidi hata panya ndani ya nyumba watakufa. Taifa hili tumechoka na mijizi. Tumechoka na mijitu mivivu.
Badala ya kumuombea mumeo watu wasimdhuru wakati akiwa kwenye kazi yake ya ujambazi unamuombea magufuli ambaye ana ulinzi wa kutosha
 
Back
Top Bottom