Mimi siamini kabisa kwenye kazi za kuajiriwa, mimi nimekeza kwenye Crypto currency na inanilipa kuliko kuajiriwa, mimi ushauri wangu at any cost jitahidi kusave angalau 30% ya unachopata ndani ya mwaka utakuwa umesave angalau pesa za kuanza biashara yako binafsi.
Mkuu kuhusu ku trade kwa kutumia robot nakushauri royal q, kwa sababu moja tu, ya kiusalama.
*pesa zako hazikai royal q, bali zinakaa kwenye digital wallet yako kama vile,
1.BINANCE
2.HUOBI
3.KRAKEN
4.Coin base
5.INDODAX
6.BYBIT
7.OKX
*teknolojia zinazotumika ni kama vile
1.BLOCKCHAIN...
Kutokana na ugumu wa ajira na msemo usemao "doesn't matter what you know but whom you know" NINGEPENDA KUWASHAURI VIJANA KUWEKEZA KATIKA DIGITAL MARKETS KAMA VILE
1.CRYPTO CURRENCY
2.FOREX
3.COMMODITIES
4.STOCKS
Kwa sasa crypto currency ni chaguo zuri...
Wenye experience kuhusu degree ya sheria
• Kwanini Law inayotolewa udsm ni miaka minne na mzumbe ni miaka mitatu
• Kuna tofauti kati ya mhitimu wa Law aliyesoma miaka minne na aliyesoma miaka mitatu.
Naomba ufafanuzi juu ya hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.