Recent content by Elijah Steel

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Kama unataka kufanikiwa kwa haraka njoo Geita, biashara pekee ya kueleweka ni uchimbaji. 90% ya watu wanajihusisha na uchimbaji kwa namna Moja au nyingine. Hivyo kama unaweza njoo uchimbe kama huwezi tafuta biashara ya kuhudumia wachimbaji. Miaka 8 lazima uwe bilionea. Mimi nna miaka 4 hapa nna...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Kuna biashara nimeajiliwa, ukiweka 1B unairudisha ndani ya miez 4.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

    Mbane pumzi, pua na mdomo. Uchi unaachia. Ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanawake.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?

    Biashara nyingi zinakufa kwa sababu kuwa watu wengi hatuna uzoefu wala hatujui misingi ya biashara. Mara nyingi wazazi wetu ndio watu sahihi sisi kujifunza biashara lakini wazazi wengi pia hawafahamu biashara kama sisi. Hivyo watu wengi hukurupuka na kuangukia pua.
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Mimi binafsi siwezi oa single mother. Lakini sioni shida na mtu kuoa single mother. Changamoto kubwa kwa mwanaume kuona single mothers ni kutoka kwa familia. Familia nyingi haziwezi kuelewa swala la kijana wao kuoa single mother wakati Kuna mabinti ambao hawana watoto especially pale ambapo yeye...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

    Kuna biashara nasimamia mauzo 500m mbk 800m kwa mwezi. Tafuta mtaji wa 1B uje nikuelekeze.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu nifanyeje niwe na PHD au PROF kwa njia za mkato ila halali?

    Tumia njia aliyotumia Professor Jay
  8. E

    JamiiForums Tanzania Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

    Sio mara ya kwanza January kua na kashfa ya ufisadi.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakua umesaidia watanzania wengine
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

    Huyu dem anapenda attention
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Wape kama 100k utapata pesa yako ndani ya miez 2.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Ukiendelea kusubiri wabunge wakupiganie Vita vyako utasubiri sanaaa .
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    NSSF bila kuwapa Rushwa utahangaika weee mbk ukome na pesa haupati. We toa ata laki miezi 2 unapata pesa yako.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mtwara huwa tu Hawasikii. Kikwete mwenyewe alishawatengeneza sana

    Kenge ana kichwa kigumu mnooo, panga linadunda, shoka ndo ata haskii yani ilinichukua saa nzima kumuua.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ilemela barabara hakuna, viongozi wanapwaya. Rais Magufuli na Majaliwa tusaidieni

    Mwanza tangu aondoke Ole Njolai hakuna mabadiliko yoyote watu wanapiga pesa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom