Recent content by Elifuraha Bussism

  1. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Mkulima kuna vitu vingine ni vya Uongo, Trekta mpya ukizitumia masaa mengi hivyo zitadumu kwa muda mchache Sana, Lakini used zitaendelea kudunda tu.
  2. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida

    Pole zao kwa ajali.
  3. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Ni vitendo vibaya sana!
  4. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kwanini Mama Rwakatare haagwi Bungeni kwa mujibu wa Kanuni za Bunge? Kwanini azikwe na Serikali kama hajafa kwa COVID19?

    Mama Lwakatare siyo wakuzikwa kimya kimya hivi,kuna jambo hapa!
  5. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania CORONA haipotei leo wala kesho. Mtumishi wa Umma jiandae na yafuatayo

    Sure, mimi niko shambani nalima dengu na kuchunga ving'ombe vyangu huku madogo na mama yao wamejifungia ndani mahindi, maharage, mchele na vinginevyo vipo vya kutosha ndani.
  6. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Si uombe wewe bhana kisa cha kutuletea mijarida humu nini???
  7. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Singida - Arusha: Maji yaziba njia, magari yamesubiri maji yapungue

    Hapo hapafai hata kidogo,ni eneo korofi.
  8. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

    Hangaikeni na corona acheni yasowahusu!!!
  9. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    Mchawi anamjua mchawi mwenzake kwa hiyo asianze kutupa uchawi wao!!!
  10. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

    Makamanda wamemtoa,atapokeaje mchango toka kwa watesi wake???
  11. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya ndama wa maziwa

    Hahahahahaah nafikiri nimeeleweka!!?
  12. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania Shamba la chumvi

    Njoo na Manyara wilaya ya Hanang kuna ziwa ka chumvi kubwa tu chumvi ni ya kuchota kwa spades na mikokoteni huna haja na shamba maana yenyewe inatengenezeka tu. Nilivuna miaka ya 2015 wakati wateja walikuwa wanatoka DRC,Burundi,uganda na sehemu mbali mbali kwani walikuwa wananunua kwa bei nzuri...
  13. Elifuraha Bussism

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

    Mpeni mic aendelee bhana hahahahahah wageni wakija ikijuwa watoto wanafukuzwa sasa mnamwingiza huyo si ataropoka yasiyotamkwa?
Back
Top Bottom