Recent content by elibarikimollel310

  1. elibarikimollel310

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale mliokumbana na matusi kwa wadada mliojalibu kuwatongoza tukutane hapa

    Me sijawahi tukanwa ila nilijibiwa tu kistaarabu,umechelewaaa
  2. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Kuna jambo watumishi hawajalielewaa.. Ngoja niwape ufafanuzi... Mshahara ukitoka tar 23 ukihesabu mpaka tar 23 ya mwezi mwingne ni siku 30, Tokea mchakato wa ulipaji mshahara umahamishiwa bot ni kwamba wanalipa tar 23 kila mwezi ila ikiangukia tar 21 ni alhamic au ijumaa wanalipaa, Nashauri...
  3. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Hahahahaha,uyo atakuwa mtumishi wa Burundi ss Tz tushapata tar 23 kama kawa
  4. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Me nna mke ila nataka kuongeza wa pili, Karibuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Asante nabii Titoo
  6. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

    Pia kwann wenye huu ugonjwa wa sukari hawawezi kupiga mashine barabara...
  7. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Hili ni ajabu la 8 kuu la Dunia.Linapatikana nchi za Afrika tu

    Tumekusomaa,ila angalia usijekufuatiliwa na wasiojulikana
  8. elibarikimollel310

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na tabia ya kututemea mate masikioni wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa

    Uyo sio mwanaume ni ng'ombe analamba jiwe la chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Halotel mtakuja jutia kwa uamuzi mliochukua, mamia ya watu wanahama halotel

    Halotel washapata wateja sasa naona nyodo kwa wingi
  10. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Unaishi wapi namaana mkoa gani
  11. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Unaishi wapi namaana mkoa gani
  12. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliofanikiwa kufika 2018 wakiwa hai

    Tunamshukuru Mungu tumefikia 2018 salama
  13. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

    [1-0 ] karibunii wapendwa
  14. elibarikimollel310

    JamiiForums Tanzania Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

    aisee kimbiaaa unapigwa tukio mda si mrefu
Back
Top Bottom