Recent content by Elias Msuya

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watoto 4 kati ya 10 hawafikii kiwango cha chini cha kusoma

    Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto katika kuhesabu. Takwimu hizo zimeelezwa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya walimu na wawezeshaji wa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania AFRODAD, SADCOPAC zaungana kuimarisha usimamizi wa Bunge kwa Madeni ya Umma

    MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) zimeingia rasmi katika ushirikiano unaolenga kuimarisha usimamizi wa Bunge, kuhamasisha...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  5. E

    JamiiForums Tanzania AFRODAD, SADCOPAC partner to strengthen parliamentary oversight on public debt

    MANZINI, Eswatini. The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) and the Southern Africa Development Community Organisation of Public Accounts Committees (SADCOPAC) have formalised a partnership aimed at strengthening parliamentary oversight, promoting responsible public...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jebra: Haikuwa sawa Lissu kunyimwa mashahidi aliowaita

    Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance)...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu: CDF Jacob Mkunda,IGP Camillius Wambura Na DCI Ramadhani Kingai Na Utetezi Dhidi Ya Kesi Ya Uhaini Inayomkabili Mhe Lissu

    Mtambuka tarehe 21 Agosti 2026 Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dastani Ndunguru ilimkuta mhe Lissu na kesi ya kujibu kwenye kesi yake ya uhaini inayomkabili. Soma pia: Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi), DART wafafanua

    Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta inaweza kushuka zaidi kwa kupunguza kodi, tozo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya Septemba 2, 2026, bei ya petroli imeshuka kwa Sh102 kwa lita, huku dizeli ikipungua kwa Sh101 kwa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mhariri The Standard atekwa, apatikana akiwa salama

    Mhariri Mshiriki wa shirika la The Standard Group, Alex Kiprotich, amepatikana akiwa salama baada ya kutekwa nyara na watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo. Tukio hilo lilitokea kwenye barabara kuu ya Gilgil-Nakuru. Kanda ya video inaonyesha gari la waathiriwa likivamiwa na wanaume wenye...
  13. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Carlyto Lassa: Sauti ya Dhahabu ya Rumba Iliyoishia Madhabahuni

    Tasnia ya muziki barani Afrika, hususan wapenzi wa Rumba ya Kongo na muziki wa Injili, imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha nguli Charles Ndombasi Lassa, anayefahamika zaidi kama Carlyto Lassa. Mwimbaji huyu mwenye sauti nyororo kama asali, mtunzi, mpiga gitaa, na mchungaji, amefariki dunia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
Back
Top Bottom