kaka unalazimisha nionekane tapeli hila mimi siko mimi ofisi zangu zipo mtoni mtongani na tabata shule sasa uyo alochomaanisha kua alinipigia siku y kwanza nkamwambia npo mtongan yani ofisini ila siku nyengine alipokuja nikamwambia nipo goms japo m sikumbuki ayo mawasiliano yangu n yeye hila...
haijalishi ni nani atashinda ktk uchaguzi mkuu huu hila CCM na serikali si kwamba hawakufanya kitu hila wamefanya machache/kwa kiwango kidogo sana ukilinganisha na muda wa zaidi y miaka 49 waliokaa madarakani na naamini watafanya tena madogo sana kwa kipindi km icho kikacho km watabaki kua...
hahahahaaa kwani hilo bunge linaongozwa na wa chama gani? inamaana hujui au huonagi pindi wapinzani wanapotakaga kuibana serikali ktk utekelezaji wa bajeti yake jinsi wanavyotendewa mabaya? je huoni jinsi bunge linavyoendeshwa kwa misingi ya uchama na kupokea maamlisho toka juu?
inamaana huoni jinsi chama tawala hasa kiongozi mkuu nao wanavyowatia doa viongozi waliopita kwa kujifanya wao sasa hivi ndio wanafanya kazi na wenzao waliopita hakuna walichofanya!?, hivi kiongozi kusema nchi hii ilikua ya ovyo kuna tofauti gani na wapinzani wnaposema nchi hii iko ovyo?, embu...
ni kweri inafanya kazi iyo njia ya karenda, mimi nimeijaribu na imenipa kile nlicho kitaka japo ndio mtoto wangu wa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio tatizo la kutosoma kilichoandikwa mpaka mwisho na kutafakari maana ya mtoa hoja, wengine msichoelewa tu ni kwamba mtoa hoja amemkosoa spika na sio cdm. naunga mkono hoja ya mtoa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo than corona umeiweka wewe tu. alafu wanaoomba misaada ni wapinzani au serikali maana mi sijawai kusikia marekani inakidai chama chochote si cha upinzani wala tawala hila nasikiaga tu serikali zetu za africa zinadaiwa na marekani. hizi memkwa mlizopitia hizi ni tatizo kwakweri
Sent using...
angalau umemalizia na point hila corona ni ya kitofaut mkuu ndiomana miaka yote ajari zilikuwepo hila hazikuwaini kusababisha dunia nzima kuwa na taharuk na kusitisha shughuli mbali mbali za kiuchumi, dunia nzima inajua kua vifo vya corona ni km 2% tu ya waasilika wa ugonjwa huo ila ueneaji wake...
ndiomana nikasema kwa uelewa wangu so wewe km unauelewa mwengine waziada unaweza uweka hapa kwani itaweza kuniongezea kitu hata mimi, afu usiondoke bwana we bakia tu ili tuendelee kulishwa matango pori pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.