Recent content by elias henerco

  1. E

    Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    tupeni data mwenye ukweli kuhusu matokeo jaman
  2. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo ukerewe nije magu .geita. ilemela. nyamagana .au sengerema idara msingi 0755558661 au 0789612607
  3. E

    Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    rais tumia busara yako umuone huyu jamaa pengine anajambo nzuri kwako na taifa kwa ujumla kumbuka, mzarau mwiba.......... kubari wito kataaa........
  4. E

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    hii ndo tanzania !!watanzania tuidumisheni amani hata kama tunaibiwa bora uzima
  5. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kwa hapa ukerewe ccm imepata vijiji 27 na chadena vijiji 47 sasa aslimia 83 iko wakuu?
  6. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    leta mawazo yenye tija mkuu naona hata bibilia ilikupita kushoto hata yesu kwao alidharaulika
  7. E

    Ikulu ya mwanza iko chini ya chadema

    jiji hilo ni la chadema ccm ni wapinzani
  8. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    oyaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!! ccyemu na nguo zao wakapige ndunguri kwanza
  9. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    nipeni matokeo ya sumbawanga mjini pamoja na mitaa yake
  10. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kwa maeneo niliyopo mimi na vjj vinavyonizunguka hapa buzegwe wilaya ya ukerewe mpaka sasa chadema imechukua vjj 11 na vilikuwa vya ccm mojawapo na kijiji changu ambacho kimekaliwa na ccm tangu uhuru kiujumla ccm ina hali mbaya sio siri kwa hapa ukerewe
  11. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    lusungo uclalamike mlaumu aluyeazisha shule za kata @ kijana kwa sasa anauelewa na anajua anachokifanya na kuanzia leo msiwaite tens bongo fleva(kizazi kimpya) waiteni wanaharakati
  12. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hivyo ni vjj tayari wenyekiti wake kutoka CDM
  13. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kikwete kakizika ccm kiujanja na ndo maana amekaa kimya na eskroo sababu ndo jeneza la ccm ila inauma sana hongera kikwete kwa kuwaandalia wapinzani kuingia ikulu kwa mbwembwe kubwaaaaaaaaa!!!!! hakuna marefu yasiyokuwa na ncha , huu ndo mwisho wa mafsadi HATA MI HUKU CKUAMINI KIJIJI AMBACHO...
  14. E

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hapa ukerewe hali mbaya kwa ccm BUZEGWE NAMPISI MURUTANGA BOGOLOLA KWERU KAZRAKANDA BUNGUZA NANSIO MJIN BWIRU Yote chadema na mpka sasa wafuas wa chadema buzegwe wanashagilia kwa fujo
  15. E

    Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    uliandika ukiwa mochuari nini?
Back
Top Bottom