Recent content by ELIAS BUHETI

  1. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Hivi kosa la CCM ni kuaminiwa na Watanzania, au ni lipi?

    Mm n mwanachama wa ccm na ninakadi kabisa ila chama changu hiki kinatusahau sana wapiga kura wake katika mambo mengi sana Sijui tufanyaje.
  2. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Katika Mfumo wa Vyama Vingi,ni sahihi Spika,Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge, kutoka chama kimoja?

    Pia kumbuka hata asitoke kwenye chama chochote kumbuka bosi wake bado itakuwa serikali tawala
  3. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Kuanzia Julai Mosi, hakuna ndugu kutembelea mgonjwa muda wa saa 6-8 mchana

    Wameshindwa mashulen na michango ilikuwa inatolewa mikubwa tu lakin chakula kilikuwa n hatari kubwa
  4. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Kuanzia Julai Mosi, hakuna ndugu kutembelea mgonjwa muda wa saa 6-8 mchana

    Hili swala naona kama halitawezekana kwan wagonjwa n wengi itakuwa kama shuleni mm n mwalimu naona cha shuleni kilivyo kibaya je mgonjwa wangu atakula? Serikari ndio tatizo katika nchi hii hawaweki bajeti na taratibu zinazofaa. Inasikitisha sana. Sijui itakuwaje jamani
  5. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

    Uko vizuri kaka
  6. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Kuna ndoa hapa kweli Ke(BACHELOR OF LAWS), Me(certificate)...

    bwana wewe mwanaume mwenzangu na mm ninaekushauri nipo ndan ya ndoa ya kanisan kabisa, mim kutoka moyon na ninauzoefu na mifano wa ndugu zangu wa damu kabisa yamewatokea nikishuhudia kwa macho yangu matatizo na mwishowe kuachana kwa kashfa kubwa sana, usioe mwanamke kama huyo, huto kuwa na aman...
  7. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Ajali Tena: Imeua 8, ni Cosata Njombe

    polen sana jaman mungu awaweke pema pepon roho za marehemu
  8. ELIAS BUHETI

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, Wabunge Wengi Hawamtaki Waziri Mkuu Sio Mawaziri!

    kweli bwana akatoa kauli kuwa wakorofi wacha wapigwe wakati si kaul za kiuongoz kama yeye
Back
Top Bottom