Recent content by Eliakimu mangala

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo na mpenzi wangu ni muislam na tunataka kuoana ila ndugu zake hawataki

    Tatzo la waislamu wanapenda kuoa wanawake Wa kikirsro bila kukataliwa lkn hawataki wakristo kuwaoa wanawake Wa kiislamu na huu ni ubaguz Wa wazi na nijuavyo mm mwanamke hana dini waislamu acheni ubaguzi hata kama mnataka idadi yenu iwe kubwa kuliko wakristo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mbona Diamond hajapost show ya uwanjani ya Mayote?

    Mbona kapost Tena wanamng'ang'nia
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    Wanasema unapoteza maili sita
  4. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Makonda na rais ni kitu kimoja
  5. E

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Usaliti unaitafuna CHADEMA, nikirudi watakwisha

    Lipumba hana lolote mbowe alimuuliza toka lipumba aanze kugombea urais alishawahi kupata wabunge wa tano lkn alipojiunga na ukawa wabunge kibao wa cuf
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Hiyo ni bank ya dunia lkn mm nipo nchini tanzania najionea hali halisi au ww upo nje ya nchi ndugu yangu nigeria uchumi wao upo juu lkn wananchi wanamaisha magumu
  7. E

    JamiiForums Tanzania CCM kushinda 2020 kwa kishindo, UKAWA kukumbwa na mtikisiko ambao haujawahi kutokea

    Yani hata ccm ifanye nn mm ni ukawa damu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA Simiyu mbaroni kwa tuhuma za rushwa

    Wakiuwa wa ccm hakuna shida lkn wa cdm wanamkamata
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

    Wala ww siyo cdm ni ccm ni sisi watu wa kaskazin hatututakaa tuichague ccm kamwe hata kama ccm itatawala hii nchi milele
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

    Huyu mwabudu lusifa vip apeleke ujinga wake huko kwanza wanachanganya siasa na dini kitu ambacho sikipendi
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona tofauti ya Kikwete na Magufuli

    Kamoga mwenyewe ni yule mlevi bora angenichagua mm
  12. E

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuwachukulia hatua kundi la kisanii la Orijino Komedi

    Waanze na masanja mana ni mwanaccm
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kuunga mkono CCM ni laana. Ushahidi ni kundi la Ze comedy

    Tena laana ya kuchomwa moto
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mkesha Wa Mwenge Sengerema ,Uzinzi ulevi kwa wanafunzi watawala

    Ccm yenyewe ni ya walevi
Back
Top Bottom