Recent content by EliahEma

  1. EliahEma

    JamiiForums Tanzania Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Inasikitisha sana kuona hakuna hatua zilizochukuliwa kwa SMS nzito kiasi hicho!!!!
  2. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

    Kama unahitaji nitafute
  3. EliahEma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kushare documents zangu kwenye internet?

    Na kweli hujui aise!!! MC ndiyo nini? I bet you meant Microsoft (MS). i.e. MS word, MS excel (Microsoft Office documents in general).
  4. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17867184 KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI
  5. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

    Unaweza kusema hivyo lakini Ukweli huwa unajulikana!! Na njia ya Mwongo ni fupi!! Ukiwa na nia YA KUJUA, UTANITAFUTA!!
  6. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

    Ndio ndgu yangu!! Ni Nyasi tuu
  7. EliahEma

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kumfundisha ufundi

    Ningekuwa mimi wote walioacha namba zao hapa , wameshafeli!!!
  8. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

  9. EliahEma

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

    Kazi sanaaa!! Motivation inasomwa Chuoni kwenye Madarasa. Mazingira halisi, Inakatazwa!!!
  10. EliahEma

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI

    Habari ndugu!! Kiwanja kinauzwa, kinatambulika na SERIKALI ZA MITAA kwa Nakala ya MANISPAA. Eneo: Kigamboni, opposite na D'Salaam Zoo, kabla hujafika Mwasonga Mwisho. Ukubwa: MITA 30 kwa MITA 25. (Ni kama Futi 90 kwa 75). Bei: MIL.6.5 Maelewano yapo!! Mahala Kilipo: Pana Umeme, Maji yapo...
  11. EliahEma

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Habari ndugu? Kuna Kiwanja Kinauzwa. ENEO: Kigamboni, karibu na D'Salaam Zoo, Kata ya Kisarawe 2. Kipo karibu na Barbara ya Mtaa, Umeme umefika. UKUBWA: MITA 30 KWA MITA 25. KIASI: MIL. 6.5 Kwa Maelezo zaidi, Tuwasiliane! MAWASILIANO: Njoo PM au Namba zifuatazo; 0714-147636 na 0758-282861...
  12. EliahEma

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Iko njemaaa sanaaa!!! Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom