Recent content by elia maholi

  1. E

    Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Kwa ajili ya kuogopa kutumbuliwa unadhani kailima angesemaje, kwa sasa wote wanaitikia pambio alianzisha mkuu wa kaya, nikulipe mshahara halafu umtangaze mpinzani kuwa ameshinda!! kailima angeaemaje kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki? huru na haki watu wameuawa!!!!
  2. E

    Lowassa na Nyalandu ni mapandikizi yatakayotafuna CHADEMA siku za usoni

    Wewe utakuwa unatoka Lumumba, wana Chadema hawana akili kama zako, kutoka kura 2m na kufikia 6m mwaka 2015, halafu hauoni utakuwa Chadema kweli! au Lumumba
  3. E

    Kazi na dawa

    Wakatoriki wanaruhusiwa na nini kunywa ila wasilewe? inaana wakatoriki wao wana Mungu wao, na biblia yao, waache usani huo ni uroho tu, hakuna ruhusa yoyote katika Biblia inayomruhusu mkatoriki kifanya vitu ambavyo wanadamu wengine wamekatazwa.
  4. E

    Nyalandu kumjulia hali Lissu: Aitwa kwenye kikao cha Maadili cha chama kujieleza

    Huo utakuwa ni ubaguzi ulio dhahili, Katibu wa itikadi na uenezi wa chama ndg Polepole alimpongeza kwa barua mbunge wa ccm aliemsafirisha Mh Lisu kwenda Kenya, hakuitwa kujieleza huyu aliyeenda kumjulia hali Mh Lisu,/anaitwa kujieleza, hapa hakuna double standard? au kuna nini.
  5. E

    Niwaombe wabunge wa CCM vaeni uzalendo kwenye hili la Nkamia

    Nkamia amekata tamaa kwani anajua baada ya miaka mitano harudi tena bungeni, ndo maana anataka kuvunja katiba ili aendelee kula, huyo si mzalendo.
  6. E

    Taarifa ya pongezi kutoka CCM kwa ndg Turky kwa utu, upendo na mchango, kuokoa maisha ya Tundu Lissu

    Polepole anadanganya umma, mbunge wa CCM anayetajwa na polepole mwenyewe anasema, gharama za usafiri wa Tundu Lisu kwenda Nairobi kwenye matibabu, Chadema wamelipa, wewe unasema mbunge wa CCM amegharimia! Jamani kuweni hata na hofu basi, mkijua kila neno, kila tendo liwe jema au baya Mungu kwa haki.
  7. E

    Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

    Mh, polepole anadanya umma kwa barua yake ya kuonyesha Tundu Lisu alisafirishwa kwa gharama za mbunge Salim Hassani wa CCM.
  8. E

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Habari njema iliyosubiriwa kwa shauku kubwa, hakika Mungu ni mwema sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    Asante Rais Magufuli, kumbe ni kweli mafisadi wanaishi kama shetani

    Huo ndo uwezo wako wa kufikiri, huhitaji kulaumiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    Je, Utawala Wa Rais Magufuli Ndiyo Wengi tuliutarajia?

    Hata kidogo, kwanza kwa lipi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Chadema ni watu makini sana, hawawezi kumficha dereva kwa namna yoyote kwa jinsi wanavyojua sana, mimi huwa nawaita watu wa data, Mara zote husimama katika bila utafiti hakuna usemi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu anaendelea vizuri na matatibu tuendelee kumwombea

    Glory to God. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom