Huu ni mfano wa kuigwa!
Sasa huwa naona WanaJF wakiguswa na hoja za mtu either positively au negatively huhoji maana ya majina ya wahusika.... Filikunjombe nafikiri inaweza kumaanisha pilipili kali.... inayodumu kuwa pilipili bila kujali imewekwa 'mdomo' wa nani!...
Mh! Hii nchi yetu bado sana.... Cha kusikitisha zaidi ni kwamba hat ninawaamini kuwa wana busara upande wake wamekaa kimya... kuashiria kwamba wanaona aropokayo huyu ni sawa tu!
Asalam aleikum wadau!
Jana kwenye utiaji saini mikataba kati ya China na Tz, tulishuhudia msemaji wa Ikulu, Bw. Salva Rwemamu akitumia kimombo.
S Nili-notice rais wa kichina akitabasam na kutingisha kichwa baada ya msemaji wake kumaliza kutafsiri kwa lugha yake. Sina hakika kama hajui kimombo...
madaktari njaa hao, they should have considered give and take much earlier, baada ya kugundua kuna kusalitiana miongoni mwao, badala ya kujibebesha aibu namna hii............... JE MADAI YAO HAYAKUWA YA MSINGI????
Du binafsi pia niligubigwa na utata kwa kauli nzuuuuuri za upole wenye kubembeleza za Meena, nikajiuliza sana ni mimi tu nina hisia za 'utovu' nidham kwa mtu kama yule ambaye anapaswa kuwajibika kwa yaliyotokea au??? naweza nisikumbuke sawasawa lakini maneno ya Meena yalikuwa kama......"Nchimbi...
sirikali-ccm na mahakama yake itapiga jungu hapo utashangaa kuambiwa rufani ishawasilishwa wanavunja katiba hao kila siku.............. wanajua wakigombea watapoteza, wakikata rufaa kesi itavutwa mpaka uchaguzi ujao.....
Huko Benghazi alikouwawa ndipo palipokuwa chachu ya USA na washirika wake kuanzisha mapambano ya kivita baada ya Gaddafi kutangaza kwenda kuwachinja wabenghazi wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.