JK hoyee! JK Hoyee, safi sana JK, walijaribu madaktari wameshindwa, wamejaribu walimu wameshindwa, nani sasa ataweza? JK hoyee!
Hakuna kitu kibaya sana kama mwanadamu asiyeheshimu dhamiri yake...
wamepewa shilingi ngapi kutoa tamko la kisaliti namna hiyo..na tusiwasikie tena wakilialia..njaa bwana
Hata marekani tukio likitokea, MTUHUMIWA huwa BLACK MANHilo la kuwalazimisha kusema ni CDM hapo ni kuwaonea kabisa!kwa nini kila kitu wanasema CDM?kwani ma Dr wote wanashikiwa akili zao na CDM?hilo ni dhaifu.
Kwa nini usitazame hivi kwamba wale waliosepa waliisha jiandaa kuondoka isipokuwa sheria tu ndio iliwazuia., Hivyo katika maandalizi ya wao kuondoka wakazua jambo. jambo likawa jambo wakafukuzwa na hivyo kujipatia urahisi wa kuondoka wakawaacha wenzao wakiyumba.. Kwa Mtanzania tumbo kwanza Udaktari ni profession kama profession nyinginezo - Walisema!Waswahili walisema kuwa adui yako muombee NJAA; sasa hayo yametimia kwa hawa madaktari waliogoma na leo eti wanaomba msamaha kutoka kwa viongozi DHAIFU!!! Shame on you madaktari uchwara!! Madaktari wenye msimamo wamekwisha sepa na wako nje wanatumikia dhamira yao; hawa wanaojidai kuomba msamaha kutoka kwa DHAIFU watarudi kazini lakini sidhani kama kazi yao itakuwa na tija kwani wamerudi shingo upande , sawa na walimu waliorudi lakini hawafundishi!!
Njaa ni mbaya sana....!!!