Samsoni Mwigamba ameshinda kesi ya uchochezi ilyokuwa ikimkabili yeye na wenzake Absalom Kibanda na Makunga. Kesi hiyo ilifunguliwa na Jamhuri baada ya Mwigamba kuandika Makala katika gazeti la Tanzania Daima iliyokuwa na wito kwa askari wote kutokutii amri ambazo si halali zinazotoka kwa...
Hotuba fupi aliyoitoa Waziri Mkuu Edward Lowassa katika bunge mjini Dodoma (Alhamisi Feb. 7, 2008) wakati wa mjadala wa taarifa ya kamati teule ya bunge iliyochunguza mchakato wa Zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura ulioipa ushindi (Richmond Development Company LLC) ya Houston, Texas, Marekani...
Tunapoelekea mwakani kwa ajili ya Uchaguzi wa Vijiji na Vitongoji namshauri Lowassa nae aanze ziara mikoani kama Mbunge kuzungumzia changamoto za Wananchi. Viongozi wa CCM kwenye mawilaya ambao wako kwenye mtandao wake wamualike kwa ajili ya mikutano hiyo.
Zitto nae aendelee na ziara zake...
Nimefuatilia sakata la Mawaziri wanne kuvuliwa uwaziri wao na Rais kutokana na sakata la Operesheni Tokomeza nikakumbuka sakata la CHADEMA na Mkakati wa Mabadiliko 2013. Katika hili la Mawaziri naweza kuona kama vile
1. MM ni Mathayo David Mathayo ( Operesheni iliahusu mambo ya mifuko ya...
Tanzania iko mbioni kukabiliwa na mgogoro mkubwa wa kikatiba. Tayari mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yanakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 lakini hayakinzani na sheria mama ambayo ni makubaliano ya Muungano (Articles of the Union).
Ili kukabiliana na changamoto ya...
1. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni jambo la siku nyingi kwanini mimi kugombea Uenyekiti 2009 iwe nongwa??
2.Katika kipindi kigumu kama hiki cha kufuatilia fedha za Watanzania na Waafrika zilizofichwa nje ya nchi nahitaji kutiwa nguvu hasa na WanaCHADEMA wenzangu lakini cha ajabu navunjwa nguvu...
Wiki iliyopita nilisoma makala moja ya gazeti la Mawio iliyoandikwa na Wakili mashuhuri Nyanyoro Kicheere ambapo alidokezea Makundi manne yaliyopo ndani ya CHADEMA ambayo ni Mapyoko ya Shibuda, Chadema Mhimili ya Mbowe, Slaa,Mnyika n.k, Chadema ya ngumi ya akina Lema na CHADEMA Fikra Pevu ya...
Katika siasa kuna kitu kinaitwa Itikadi. Itikadi ni Imani inayowaunganisha Wanachama. Itikadi au Imani huwa inaambatana na kubeba tabia fulani mahsusi kwa wenye imani husika hii ni pamoja na mavazi, namna ya kuongea maneno, n.k. Ndio maana ni rahisi sana kumjua Mkatoliti, Msabato, Mlokole...
Mimi namwamini Mwigamba kwa sababu ni kiongozi wa Chama na yuko kwenye chama siku nyingi tofauti na wewe ambaye ni mwajiriwa tena umekuja juzi tu hata miaka miwili huna na hukuwepo kwenye hivyo vikao. Mbowe ndio ataiua CHADEMA mwambieni ukweli.
Wahafidhina na Wanamapinduzi wameshaanza tayari. Kitendo cha kumpiga M/Kiti wa Mkoa hakikubaliki hata kidogo. Ila kwa hofu hii waliyonayo tutaona mengi. Mrema alifikia hadi kuchoma nyumba za Wapinzani wake huko Dar es salaam
Harakati za Uchaguzi ndani ya Chama chake zimeanza. Wahafidhina bwana wana mambo miaka yote alikuwa wapi au ushabiki umeanza mwaka huu tu! Ngoja Zitto aende utawasikia vijana wake wakisema anatafuta umaarufu wa kisiasa ila Mbowe aa! Kweli kunya anye Kuku akinya bata kahara. HAKUNA MWANASIASA...
Wana JF nimepata hii Makala katika gazeti la RaiaMwema wiki hii. Kuna watu wanataka kutuaminisha kuwa CHADEMA ni Mbowe na Slaa ukiwa challenge Mbowe na Slaa basi wewe ni Msaliti, Lumumba FC na Gaidi. Fuatilia Makala hii.
Dhana ya ugaidi ndani ya vyama vya siasa Tanzania
Michael Sinare
Toleo...
Kiongozi anayeng'ang'ania Madaraka ujue amefanya madhambi kwa hiyo yuko tayari kuharibu uimara wa taasis husika au nchi kabla ya kutoka madarakani ili isiwe na uwezo wa kumwajibisha. Mbowe akiogopa kuachia madaraka na kutaka kuua Chama basi tujue atakuwa amefanya dhambi ndani ya Chadema kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.