Yaliyomkuta Waziri Mathayo ni kama yaliyomkuta Zitto na Mkakati wa Mabadiliko 2013

Oct 12, 2013
23
23
Nimefuatilia sakata la Mawaziri wanne kuvuliwa uwaziri wao na Rais kutokana na sakata la Operesheni Tokomeza nikakumbuka sakata la CHADEMA na Mkakati wa Mabadiliko 2013. Katika hili la Mawaziri naweza kuona kama vile

1. MM ni Mathayo David Mathayo ( Operesheni iliahusu mambo ya mifuko ya wizara yake japo yeye hakuhusika kuiandaa operesheni hiyo wala utekelezaji wake yeye hakuhusika japo yeye alikuwa ni mnufaika mkuu wa Operesheni ile kama ingeendeshwa kwa mafanikio)

2. M1 ni Emmanuel Nchimbi ( Yeye ni kama alihariri mpango wa Operesheni hii kwasababu hasa ilipaswa kufanywa na Polisi lakini matokeo yake mipango na mikakati ikapangwa na jeshi la wananchi na yeye akaihariri na kuiridhia)

3. M2 ni Khamis Kagasheki ( Yeye ndie haswa operesheni ilikuwa na lengo la kulinda ustawi wa wanyamapori kama ambavyo M2 anasemekana ni mfanyakazi wa makao makuu na kagasheki ndivyo alivyo. Wizara yake ndio imewapa inputs zote watu wa Wizara ya mambo ya ndani na JWTZ juu ya mapungufu katika hifadhi zote.)

4. M3 ni Vuai Nahodha (Huyu ni kama Mwigamba kabisa. yuko nje ya makao makuu yaani maliasili lakini ndio kaandaa operesheni kwa kushiorikiana na Nchimbi M1 wakatekeleza bila kumshirikisha M2 katika utekelezaji japo walikuwa wana lengo la kuokoa mifuko ya MM ambaye ni Mathayo)

Kikwete = Mbowe

Mtazamo tu!
 
Kinachofata tunafukuza siyo kama CCM walivyofanya kuwanyang'anya nyazifa tu...
 
Kunywa maji ukalale
 
Mfano huo haiendani kabisa na yaliyotokea cdm!. Operation imeleta balaa kwa wananchi!.Mauaji, ubakaji, udhalilishaji, rushwa mpaka umaskini kwa wananchi walio wengi!
 
mimi naamini hao mawaziri wote wameonewa tu, kuna bad performer wengi kwenye hii serikali. operation yeyote lazima iwena structure wakati wa kuundwa, hao watekelezaji walikuwa wanaripot kwa nani command centre ili kuwa wapi? ni ikulu au ni wapi? waziri mkuu alikuwa na nafasi gani katika operation hii?
 
maskiini hao mawaziri sijui watapata wapi tena ugali wao wa pembeni
bora waende kuungana na kalamagi mana walimuona kuwa gwanda

Back
Top Bottom