Ndiyo alipima ila, mzigo unaweza ukacheza kutokana njia ilivyo labda steep slopes barabarani mzigo ukahama ukazidi kwenye exel....ila kinachochanganya ni kwamba imezidi na GVM! Ni jambo la kujiuliza sana
Sema ninachojua hapo gari ishaingia yard haiwezi toka kupima bila order ya regional manager au mamlaka husika ya juu, kama haijalipia faini na ku offload mzigo afisa wa kawaida wa mzani haruhusiwi kuipima tena bila kufuata huo utaratibu either amelipia na kuoffload mzigo au kuupanga ndo afisa...
Aaah gari itapimwa mbivu na mbichi zitajulikana, yaweza kuwa ni ofisaa wa mzani kakosea kaweka articulated ya carrying capacity ndogo na akati hiyo ni kubwa ndo maana ikaleta kuzidi kwa exel na GVM
Hapo inaonekana operator kayatimba kakosea kuchukua aina za exel alizochukua, labda kama ni exel zile 1.22.3=50 kachukua 1.21.3=46 kama sijakosea na ameshaisave kwenye system faini inatakiwa kulipwa wanamkandamiza mwanamama wa watu labda wanahisi hajui carrying capacity ya chuma yake...
Watoto ni wa baba mmoja, sababu ya kushindwana ktk ndoa huwa sio moja na wala sio ya siku moja ndugu kama hujawahi ingia kwenye ndoa you better keep quiet
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.