Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani.
Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
Demand ya walimu ni kubwa kwakuwa wanahudumia wateja wengi kulinganisha na sekta zingine
Ualimu ndio sekta mama ya sekta zingine kwahiyo kuna uhitaji mkubwa wa walimu ili waendelee kuzalisha wasomi na watalaam mbali mbali wa kulisaidia taifa katika nyanja tofauti tofauti.
Kwa sababu kuu hizo 2...
Kwa sababu ya kulinda privacy na anonymity yangu siwezi kutaja jina la shule ninayofundisha ila kama unaweza karibu mkoa wa geita utembelee shule za kata katika halmashauri za bukombe na nyang'hwale utajionea hali halisi ilivyo
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.
Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
Pesa inayokusanywa ni nyingi mno inaweza kufanya mambo yote mawili kwa wakati mmoja. Na kumbuka hapo tozo peke yake hatujagusia kodi za kawaida zinazotokana na rasmali tulizonazo na zinazokusanywa kwa wananchi kila siku
Kwa akili hizi tatizo la uhaba wa walimu halitakuja kuisha milele na milele.
Yaani waziri badala ya kuajiri walimu wapya kukabiliana na upungufu uliopo anaagiza halmashauri zifanye msawazo. kwa walimu gani waliopo?
Huyu waziri kumbe naye chenga
Bila kuishinikiza serikali kuajiri, suala la uhaba wa walimu wa sayansi litaendelea kuwa tatizo alafu kwanini tozo za miamala zinazokusanywa zisielekezwe kuondoa hili tatizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.