Ahahahahahahaha!! Huyu Balile njaa tu kuna siku pale Ikulu Rais Samia alimwaga siri zake pale Ikulu aliposema Balile wewe nakufahamu vizuri siku nyingine unanipigia simu unaniambia mama sina kitu nami nakuangalizia chochote!! Balile anajua mambo lakini mchumiaa tumbo kinyama(anasomesha watoto )
Akili yako ni ndogo mno kujua mambo haya,,lile jeshi linaitwa Fire and rescue force kwa maana ya Zimamoto na uokoaji,,hivyo kwa hapa nchini ndio jeshi lenye jukumu la kuzima moto na kuokoa maisha katika nyanja zote,,,kijana kapelekwa sehemu sahihi
Akidai utajuaje kama amedai!? Kuhusu kila mtu alipwe kupitia serikali kuu ni ngumu maana imewekwa hivyo kwa sababu maalumu mfano nchi ikiyumba ikashindwa kulipa mishahara ya watumishi usitegemee askari atakosa mshahara kwa sbabu uchumi umeyumba!!! Ndo maana serikali kuu inabaki na watumishi...
Hata majeshi yana malalamiko yao siyo kwamba kila kitu kiko sawa,,,hivyo matatizo ya walimu siyo ya kushangaa,,,sema matitizo ya askari yanatatuliwa kwa usiri ila siyo kusema kwamba wao hawana matitizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.