Pole sana wengi tumepita uko tulifikiria hadi kujiua ila Mungu alikuwa mwema akatuepusha naamini na wewe atakuonyesha njia ya kupita,nakushauri mkabidhi Mungu shida zako mwambie sasa imetosha nahitaji pumziko,fanya ibada ya kweli na ufunge ukihitaji Mungu akujibu maombi yako,hakuna...
Huwa mbn wanaishi mda mrefu wakizingatia masharti ata 20 years wanafikisha pia hakuna mtu mwenye guarantee ya maisha,wote tunaishi kwa matumaini ya kuiona kesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.