MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
Hivi haya mambo makubwa anayoyafanya Rais Dkt Samia hawa wanaharakati hawayaoni? Si walikuwa wanapiga kelele enzi za Hayati Magufuli wakisema nchi imefungwa na fursa za kimataifa zimezuiwa?
Sasa Dkt. Samia amefungua milango na kuifungua nchi kimataifa lakini mbona hatuwaoni wakimpongeza? au...
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala
mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha
kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil
Refinery) unapaswa kuelekezwa jijini Tanga, nchini Tanzania. Ingawa
wengi walishangazwa na hatua ya...
Siku ya juzi January 6, 2026 PADRI CHARLES KITIMA alikutana na JOHN WEGESA HECHE na walifanya mazungumzo yaliyoanza saa 5:05 asubuhi na kumalizika saa 7:17 mchana.
Katika kikao hicho, JOHN HECHE alimpa mrejesho wa mipango ya CHADEMA kwa mwaka 2026, Kubwa zaidi likiwa maombi ya fedha...
Maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania Siku ya Krismasi hayakufanyika, baada ya wananchi wengi kupuuza wito wa maandamano uliokuwa ukisambazwa mitandaoni na badala yake kuendelea kusherehekea sikukuu hiyo kwa amani.
Tukio hili limeambatana na ukosoaji mkubwa dhidi ya mwanaharakati...
TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI
Na GULATONE MASIGA
Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao.
Nilitegemea baada ya...
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua...
🚨𝐆𝐰𝐚𝐣𝐢𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚 𝐳𝐚 𝐔𝐤𝐚𝐛𝐢𝐥𝐚, 𝐔𝐧𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢, 𝐔𝐳𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐢 𝐧𝐚 𝐉𝐢𝐭𝐢𝐡𝐚𝐝𝐚 𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐥𝐢𝐠𝐚𝐰𝐚 𝐓𝐚𝐢𝐟𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐦𝐯𝐮𝐥𝐢 𝐰𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢.
👉Hivi punde, Kupita ukurasa wake katika mtandao ya YouTube, Mchungaji Josephat Gwajima, kama ilivyo ada yake, amezungumza tena na umma wa Watanzania, hotuba ambayo kwangu binafsi, haileti mwanga...
Chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia sekta ya bandari kupitia uwekezaji wa DP World imepata mageuzi makubwa.
Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam umeongezeka kwa kiwango cha kihistoria, gharama za uendeshaji zimepungua,mapato ya serikali ymeongezeka kwa kasi.
Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua...
Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja.
Mbaya zaidi...
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.