Recent content by Egbt Jose

  1. Egbt Jose

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwalim hv PS4 pro mpaka inifikie morogoro ni sh.ngap?
  2. Egbt Jose

    Dawa ya kuzuia kipara (uwaraza)

    mrejesho wa aliyetumia kitunguu
  3. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Mkuu naelewa nachoenda kukisoma sikukurupuka tu kuchagua hiyo course
  4. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Yote yataenda ilimrad personal efforts
  5. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Tutajitahidi iwezekanavyo kupambana ili twendane na hali halisia
  6. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Mwenyewe nimezoea kusoma kiasi tu na kufanya mambo mengine, asa kama hayo tunayoyasikia ya kua so busy na class tu kutakua na ugumu kwel
  7. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Tujiandae mkuu ni noma kwel make wengine tumezoea msuli kidogo af unafanya mambo mengine
  8. Egbt Jose

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Mwenyew nimechaguliwa hiyo course hapo sua ila daah nawaza sana huo msuli ambao hakuna free time hata kidogo
  9. Egbt Jose

    Taarifa na ushauri kwa wanaoomba kujiunga na kozi Vyuo Vikuu kwa mwaka 2019/2020

    Ushauri tafadhali nimesoma EGM nna DDD course gan nzuri naweza soma ardhi na nikapata nafasi
Back
Top Bottom