does this really work?Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
hayo mafuta ya lavender yanapatikana wapi mkuuMkuu kuna mafuta yanaitwa Castro oil unapaka na mafuta yanaitwa lavender. Hataka kama una kipara basi nywele zitaota tu. Lakini hayo mafuta nunua 100% pure
Samahani mkuu nimekusudia rosemary sio lavender, Jaribu manuka yanayouza dawa za asili kariakoo.hayo mafuta ya lavender yanapatikana wapi mkuu
Now ni miezi miwili, tupe mrejesho sasaNitaleta mrejesho
yanapatikana wapi?Mkuu kuna mafuta yanaitwa Castro oil unapaka na mafuta yanaitwa rosemary. Hata kama una kipara basi nywele zitaota tu. Lakini hayo mafuta nunua 100% pure
Yanaitwaje hayaIpo mkuu mimi imenipa ahueni mwezi sasa naona vivyweleo niliambiwa miez mitatu0712505049View attachment 1763196
Dawa gani mkuu?Ipo mkuu mimi imenipa ahueni mwezi sasa naona vivyweleo niliambiwa miez mitatu0712505049View attachment 1763196
Ya kweli haya mkuu?Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
Ya kupaka elfu 30 tu
Ukweli wako ni upi?We mwongo.
Aliye jaribu hii atupe mrejesho jameniChukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo..
Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +