Recent content by Effort4

  1. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waogopeni hawa matapeli wa siasa

    Tukumbushane tu, sisiem walitoa sh ? Kwa dr mihogo na prof.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wastaafu wa Serikali walio upinzani, wabunge wa upinzani kubanwa matibabu nje ya nchi

    Sawa lakn isiwe kwa wapinzan tu, yaelekea miaka 50+ccm gaina wataalam sasa hawa waliopo ni wa ukawa ndio maana mnasema ukawa wanao wataalam wa kuwatibu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Huyo malizi bora afunge virago sioni anachofanya
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Punyeto zinawaharibu vijana sana, wamekuwa wadhaifu sana kitandani

    Tatzo ni ukame mfukon na nyie mmezid na minenguo, kijana kama ana uhakika kukupata kila siku au hata mara 3 kwa wk sidhan kama hiyo hali inaweza kutokea
  5. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waogopeni hawa matapeli wa siasa

    Hata mimi sijasoma nilihisi kichechefu vile
  6. E

    JamiiForums Tanzania DAR: Ujenzi wa Daraja la Salender kuanza 2017 na kukamilika mwaka 2020

    Hivi flyover za tazara wamefikia wapi
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wake wa zamani hakufariki, amerudi na anataka warudiane!

    Kwa john aliudhulia mazish yake? Na kwa nini hakumuuguza mpezi wake john ?
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Wapo wanaosema mwanamke asipopigwa mwanaume tarajia kuoa na kunaacha kila baada ya miezi 6, lakn akipitishwa kibao ndoa inadumu na yeye anarudi katka mstari.Na mwanaume asipokuwa mvumilivu juu ya mwenza wake tarajia kuoa na kuacha kila uchao
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tusisahau kuilaumu na kuikaripia vikali serikali ya CCM iliyosababisha ATCL kuwa mlemavu

    Umemjibu vyema mkuu, jamaa anafkri ukubwa wa pua ndo wingi wa makamasi.Hataivo ccm uchangiwa na serikali kujiimalisha na utumia kodi za wananchi wote na wasio wanaccm sasa cdm wananafasi hiyo?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: 30% ya budget huliwa na viongozi, tumerudi nyuma mapambano juu ya Ufisadi

    Labda ni mpango wa kuongeza ajira, sioni takukuru walichokifanya zaidi ya polisi ambacho walikuwa wanafanya awali.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    Hatoi ajira halafu anasema mkafanye kazi muache kucheza pool, na mnatakiwa kukamatwa ikionekana mnacheza pool
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yamtaka Lissu kufika mahakamani kujieleza kwanini asifutiwe dhamana

    Katazo la kutojadili kesi iliyoko mahakaman ni la ccm sidhan kama dunian kote huwa iko hivo.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Hii hali nimeizoea kuiona katk nchi zilizotengwa na jumuhiya ya kimataifa, sidhan kama ally bashir wa sudan anaweza kwenda, Nkrunziza, Alli asad nk. Sasa sis tuwe kundi gani ?
  14. E

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Wenyeviti wa Bodi tano nchini

    Kwa sasa zimesikika sana ni kwa vile zinaegemea sana upande flan wa dini na elimu.
Back
Top Bottom