Recent content by Efendi

  1. Efendi

    Naenda kununua bati za king líon kutokana na bajeti yangu nipeni ushauri kabla sijatindinganya mambo...

    Nunua bati ya kampuni ya polaris hutojuta mm mwaka wa pili huu
  2. Efendi

    Maisha ya waislam wakienda peponi

    Vipi kuhusu waumini wa budha wahindu wanaenda peponi au motoni
  3. Efendi

    Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Sisi wengine mpaka tumejenga kwa hela hizi za udalali
  4. Efendi

    Kwa kilichonitokea madalali wa kibongo wana tamaa sana

    Nimepitia comments nyingi ziko negative na madalali kuonesha watu wana wivu na madalali wakati udalali ni kazi ambayo watu kama sisi inatuingizia kipato acheni dharau kwenye hustle za watu kama unaona unamfaidisha dalali usimshirikishe kwenye mipango yako
  5. Efendi

    Mtoto wa miezi 7 kamili ameharisha mara 13, dawa akipewa anaicheua

    Mpeleke hospital kubwa fasta usichelewe mtoto amepoteza maji mengi
  6. Efendi

    Biashara ya kulenga viwanja/maeneo

    Biashara nzuri mimi naifanya japo kwa kiwango kidogo lakini napata faida za laki 3,5
  7. Efendi

    Biashara ya kulenga viwanja/maeneo

    Inakuwaje fake wakati lazima mfanye uchunguzi
  8. Efendi

    Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Mimi ni muislamu lakini ninachojua nimewazidi wafarisayo wengi IQ ikiwemo ww
  9. Efendi

    Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Tunaishi nao wakorinto huku mtaani wajinga na wapumbavu mpaka basi
  10. Efendi

    Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Why unadhihaki dini ya mwengine hujui tunaishi kwa kutegemeana kwa hiyo islamic wote akili zao zimeleft ?
  11. Efendi

    Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Acha dharau na dini za wengine kwani CCM ametawala miaka yote nchi hii wakristo hawapo au
  12. Efendi

    Hatimaye nimepata gono, kumbe ndo inauma namna hii?

    Sindano za cipro umechoma tayari
  13. Efendi

    Hatimaye nimepata gono, kumbe ndo inauma namna hii?

    Nenda hospital kubwa wakakuchukue vipimo vyote vya mwili
  14. Efendi

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Si bora ununue mashamba na kukata viwanja yaani hiyo M 45 utaidouble ndani ya miezi 3
  15. Efendi

    Wale wa watu wapenzi wa movies angalieni hizi mpya

    Hujui movie ww pita kule Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom