Recent content by eerua

  1. eerua

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Huyu atakuwa ni mbunge viti maalum nakumbuka alilia enzi ya Magu
  2. eerua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu haya anataka niwe namchapa bakora/mboko wakati wa Tendo la Ndoa

    Embu tuoneshe picha ukimchapa
  3. eerua

    JamiiForums Tanzania Jambo gani umewahi kusingiziwa likakudhalilisha kwenye jamii?

    Niliwai singiziwa nataka kuchoma shule bweni,nilichapwa parade na kufukuzwa shule form 2 ilikua,tokea hapo mambo hayakua sawa
  4. eerua

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa wale tuliofilisika

    Naelewa sana hichi unachosema...kijana pia nlipata hela zakujimudu na Maisha na familia yangu.nilikua na kampuni ya jenzi inafanya vizuri tu mkoani huko.mikosi ilitokea ghafla kifusi nimekipanga mvua ikapiga kikazilewa Hapo nimekopa Lita 20,000 za diesel,tipper kumi zipo site kama siku 15 per...
  5. eerua

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Kurudisha ukaribu na Baba yake kwa story aliyotupa na baba yake labda Mungu pekee atende Miujiza.tofauti na hapo namshauri afanye mema yanayostahili.Hujamkosea mzazi
  6. eerua

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Sio lazima uchangie kila kitu mkuu.Busara ungesoma kwanza
  7. eerua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipofanikiwa kuzama penzini na mwanamke wa ndoto yangu (mke wa mtu)

    Tuwekee picha yake
  8. eerua

    JamiiForums Tanzania Salamu za shukrani: IPP Media yaitosa JamiiForums

    Acha uchochezi
  9. eerua

    JamiiForums Tanzania Dar: Hii mvua mbona siielewi, tangu asubuhi inanyesha tu

    Huku ni Giza ..tabata
  10. eerua

    JamiiForums Tanzania Usihangaike na kufanya diet.suluhisho limepatikana

    Mkuu naomba jina LA kitabu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. eerua

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza

    Muhiri ni nini mkuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. eerua

    JamiiForums Tanzania Hii ni Ndoto hii

    Unaroho nyeusi sana.hata km humpend huu sio ubinadamu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom