Ni makosa makubwa kulinganisha Nairobi na DSM au Kenya na Tz,Iko hivi,Tanzania imejengwa na WA Tanzania wenyewe wakati Kenya imejengwa kwa jasho la wakoloni,Tz Iko mbali Sana,fikiria Tz tungejengewa kama wakenya walivyojengewa na mabwana zao tungekuwa mbali Sana.Wakenya wawashukuru waingerereza...