Recent content by Edwin Mtei

  1. Edwin Mtei

    CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    Naona JF member Lizaboni unanipa majukumu nisiyostahili kutokana na taarifa niyotoa kuhusu UKAWA na Profesa Lipumba. Nikiwa Muasisi wa CHADEMA nafuatilia kwa karibu sana maendeleo ya chama. Pia nikiwa Raia anayefuatilia mchakato wa Katiba Mpya, naelewa jinsi Bunge Maalum la Katiba lilivyoundwa...
  2. Edwin Mtei

    CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    Lipumba siyo Mbunge. Wote walioteuliwa ni Wabunge wanaohudhuria Bunge la Bajeti. Bunge Maalum la Katiba ndiko Profesa alipo na huenda akawa ni 'Naibu' Kiongozi wa Upinzani wa hilo Bunge Maalum endapo UKAWA watujiunga nalo August 2014.
  3. Edwin Mtei

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Nilisikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri...
  4. Edwin Mtei

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu...
  5. Edwin Mtei

    UKAWA hatarini kufutwa, Samweli Sitta awatafutia zengwe

    Hivi kuna Mwenyekiti au kiongozi yeyote anayeweza kuzuiya kundi lolote kukutana mahala popote na kukubaliana kujadili Katiba Mpya au jinsi ya kukusanya mawazo juu ya kutumia wakati wao wikiend hapo Dodoma? Mbona Mhe. Samuel Sitta anadhani amepewa majukumu ambayo hayatekelezeki? Kwani Ukawa ni...
  6. Edwin Mtei

    Sitta Vs Kificho

    Ronald Reagan na Winston Churchill walivuma sana nyakati zao wakiwa wamekomaa kama Mugabe. Wewe unataka wakina Clinton waliokuwa wanashughulikia wakinadada Lewinski tu?
  7. Edwin Mtei

    ACT presha ya nini!

    Nimefungua computa yangu baada ya kupigiwa simu, nikaona yanayosemwa ktk hii thread na pia kwamba wananitaja kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo wangu na ni SACOs ya Freeman Mbowe mkwe wangu. Kwa mantiki gani? Singetaka kumaliza wakati juu ya ACT, ambacho ni chama kilichoanzishwa wiki mbili...
  8. Edwin Mtei

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    MwanaJF Chama, Samahani sikuelewi. Ridhiwani kashinda kugombea jimbo alilowakilisha babake. Mimi nahusikanaje? Nakuhakikishia akiteuliwa na chama chake, atapambana na mteule wa CDM ambaye anajiandaa mpaka kieleweke!! Hakuna Kulala!!!
  9. Edwin Mtei

    Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

    Kitabu changu From Goatherd to Governor kilichapishwa mwaka 2009 na Mkuki na Nyota Publishers, na kinapatikana katika maduka ya Bookshop Tanzania.
  10. Edwin Mtei

    Mbunge wa Arusha, Godbless Lema aamua kugawa picha za Kugushi za kumdhalilisha!

    Nadhani wanaotumia nguvu zaidi kutetea umaarufu wao, ni viongozi wa mafisadi waliopiga picha za kumbaka na kumdhalilisha Hii ni aibu tupu kwa CCM!!!!!!!!
  11. Edwin Mtei

    TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    This is sad news indeed. Tanzanians will miss his constructive contributions to National issues. May the Almighty God rest Sengondo Mvungi's soul in eternal peace!! AMEN.
  12. Edwin Mtei

    Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

    ZeMarcopolo, Kibogo, Nimekwisha sema awali katika michango yangu humu jamvini, kwamba sifurahii kujibizana na wanaJF, hasa wale wanaotumia majina ya kificho (pseudonyms). Lakini naona nj vema nimweleze Ndugu Kibogo kwamba mwaka 1979, Rais Nyerere hakunisimamisha kama Gavana wa BoT. U-Gavana...
  13. Edwin Mtei

    Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

    Dada Mamndenyi, Nashauri wasiliana na Profesa James Teri, Mkurugenzi wa TaCRI ambaye ataweza hata kupeleka wataalamu hapo shambani kwako wakatambua tatizo na kukushauri la kufanya. Simu yake ya kiganjani ni 0754 473895.
  14. Edwin Mtei

    Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

    ZEMarcopolo, Nimeeleza kwamba nikiwa Gavana BoT (1965-74), Freeman Mbowe na binti yangu Lillian walikuwa watoto wachanga, na singeweza kuwashirikisha katika miradi. Freeman alikuwa na miaka 4, na Lillian alikuwa na mwaka mmoja!! Licha ya kwamba hizi zilikuwa enzi za Ujamaa, babake Freeman...
  15. Edwin Mtei

    Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

    Nalazimika kuandika kuelezea maisha na utumishi wangu kwa umma na taifa letu, kutokana na juhudi za wahasimu wangu ku-"connecting the dots...." kumfikia Mbowe. Inavyofahamika, nilibahatika kuteuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha 9 Septemba 19064. Binti yangu Lilian' ambaye...
Back
Top Bottom