Hapana wakati mwingine tutambue taifa letu lilikuwa limefikia wapi na liliitaji MTU wa aina gani aliongoze....kimsingi taifa hill lili hitaji MTU kama jpm kufanikisha yote changamoto hazikosekani na madhaifu kama mwanadamu hayakosi vipi kumjaji MTU kwa mabaya kuliko pia kuangalia mazuri aliyoyafanya
Wahusika wa usajili wa vitambulisho vya utaifa ...sasa najua mko kwenye kanda zenu mkisajili watu lakini kumbukeni kuwa kwenye hizo kanda kuna wakazi hawapo ..watu hawa ni wengi na wako mbali na hawataweza wahi zoezi ...kundi hilo ni wanafunzi wa vyuo vikuuuu kundi hilo liko vyuoni mikoani ...
NDOTO YANGU....
Ilikuwa ni saa 20:17 nilipanda kitandani mpaka kufikia dakika ya 12 toka nilipo panda kitandani ...nilikuwa tayari nimekwisha shikwa usingizi...ghafla ndoto ya ajabu ilikuja ndoto hiyo nilishindwa kuitafasili .
Nikiwa ndotoni nilipata kuona ufalme mzuri uliopendwa na watu...
Body ya mikopo mwaka 2017/1018.ilitoa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza .Kulingana na mfumo wa uombaji wa nafasi za chuo kwenye vyuo husika...hii imepelekea wanafunzi wengi kupata multiple selection (kuchaguliwa zaidi ya chuo kimoja)
Halii hii ilipelekea heslb kupeleka pesa Kwenye chuo...
Hii imekua kero kwa watoto wengi wa masikini,na imepelekea watu kuahilisha na kutumia pesa zao baada ya kubaini kuwa kinacho fanywa na heslb ni kama udanganyifu vijana wengi hawajapata mkopo na kiuhalisia wengi hatuwezi kujisomesha.....taarifa juu ya hili hakuna wala body kutoa mwanga jwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.