Kama kweli Rais wetu anapendwa na Wananchi apimwe kwa mambo makuu matatu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kama kweli Rais wetu kipenzi cha wanyonge anapendwa sana na wananchi wote kwa ujumla. Kulijua hilo naomba tumpime kwa mambo makuu 3 yafuatayo 2020,

1.Asimame kweye urais na Tundu Lissu kugombea.

2.Tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ya nchi.

3.Mikutano ya kisiasa iruhusiwe.
 
2020 zitaporomoka kura mpaka asilimia 51. Mimi binafsi nilimpigia kura kwa CV yake ya wizara ya miundo mbinu aliyoifanyia akiwa waziri nikidhani ni mnyenyekevu, sikujua kama hana huruma kwa wanyonge, amejaa kiburi na mbabe. Wahenga walisema ukitaka kuijua tabia ya mtu mpe pesa au madaraka
 
Kwa tume ipi ya Uchaguzi hihi Nadhani tuna Vitu viwili vya msingi Kuwa na Mjadala Wa kitaifa 1.Namna bora ya kujenga na kuimarisha uchumi Wa Tanzania 2.Tume huru ya uchaguzi " For sure We Need Fair and Free Elections at all Levels''
 
Kama kweli Rais wetu kipenzi cha wanyonge anapendwa sana na wananchi wote kwa ujumla. Kulijua hilo naomba tumpime kwa mambo makuu 3 yafuatayo 2020,

1.Asimame kweye urais na Tundu Lissu kugombea.

2.Tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ya nchi.

3.Mikutano ya kisiasa iruhusiwe.
Mtoe lisu niweke mimi......
Alafu kuwe na tume huru ya uchaguzi uone nnavyo mgaragaza... .Kwa lisu umeenda mbali Sana..... Mimi tu namtosha
 
Hapana wakati mwingine tutambue taifa letu lilikuwa limefikia wapi na liliitaji MTU wa aina gani aliongoze....kimsingi taifa hill lili hitaji MTU kama jpm kufanikisha yote changamoto hazikosekani na madhaifu kama mwanadamu hayakosi vipi kumjaji MTU kwa mabaya kuliko pia kuangalia mazuri aliyoyafanya
 
Hamumtaki tena Lowasa
Tunamuitaji na bado yupo kwetu
Hapana wakati mwingine tutambue taifa letu lilikuwa limefikia wapi na liliitaji MTU wa aina gani aliongoze....kimsingi taifa hill lili hitaji MTU kama jpm kufanikisha yote changamoto hazikosekani na madhaifu kama mwanadamu hayakosi vipi kumjaji MTU kwa mabaya kuliko pia kuangalia mazuri aliyoyafanya
 
Kama kweli Rais wetu kipenzi cha wanyonge anapendwa sana na wananchi wote kwa ujumla. Kulijua hilo naomba tumpime kwa mambo makuu 3 yafuatayo 2020,

1.Asimame kweye urais na Tundu Lissu kugombea.

2.Tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ya nchi.

3.Mikutano ya kisiasa iruhusiwe.

Low level ya ufikiri, kiwango cha chini sana. Kama huijui siasa acha kujiaibisha, unatia kinyaa! Kupendwa ndio nini? Siasa haina kupendwa, siasa ina kutangazwa, kama idadi ya kupendwa ingekuwa na nafasi Hilary Clinton angekuwa rais wa USA.

Siasa unaipenda lakini haikupendi kwa vile huijui, usitumie hasira, tumia akili.
 
Kama kweli Rais wetu kipenzi cha wanyonge anapendwa sana na wananchi wote kwa ujumla. Kulijua hilo naomba tumpime kwa mambo makuu 3 yafuatayo 2020,

1.Asimame kweye urais na Tundu Lissu kugombea.

2.Tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ya nchi.

3.Mikutano ya kisiasa iruhusiwe.
Acheni hii nadharia ya KIPVMBAVU. lowassa ALIPENDWA ZAIDI na wananchi, asilimia ya kura alizopata lowassa Lissu hatofikisha nusu. Nionacho hapa ni mnadhani kutakuwa na kura za HURUMA.

Alafu hivi hamna mawazo mapya??
 
2020 zitaporomoka kura mpaka asilimia 51. Mimi binafsi nilimpigia kura kwa CV yake ya wizara ya miundo mbinu aliyoifanyia akiwa waziri nikidhani ni mnyenyekevu, sikujua kama hana huruma kwa wanyonge, amejaa kiburi na mbabe. Wahenga walisema ukitaka kuijua tabia ya mtu mpe pesa au madaraka
Kwa hiyo wewe ukitoka hakuna wanaoingia?? Kuna wengine wanajuta kwa nini hawakumpigia kura.
Kama zikishuka ujue chadema watakuwa wanacheza na 'sub zero' votes.
 
Back
Top Bottom