Kujilinda kwanza ndo garama hata wewe hao baba zako na mama zako wanahitji kulindwa hizo za kulazwa ni matokeo ya mungu hayazuiliki lakini ujinga wa intarahamwe unahitaji kudhibitiwa
Tena kulipa fidia hilo aliondoe hii serikali anaendesha yeye na sheria anazifaham ule mchezo wa kifisadi kuhusu samaki inajilikana ilikua njama tu za mafisadi
Jamani marehem mtikila atutuambia huyo mzee ni mgonjwa na akili yake inavomtuma kusema yeye ni furaha kwake hata kama sio sawa asamehewe kwa hali aliyonayo jamani
Waliomchagua ni walewale wasojua nini maana ya ndumila kuwili leo hivi kesho vile
Maana ya uawandishi ni kusimamia unachokiamini sio leo fulani fisadi hasafishiki kesho unagekuaka ile kalama niliondikia sio yangu
Mwenye kumiliki gazeti mwenye kanjanja nani ataamini habari zake kesho habari atasifia kia serekali inapesa haina la kufanya yatakua ya lowasa fisadi kesho lowasa malaika
Kweli wachawi wao wenyewe chadema walionza kumuta fisadi na akipelekwa mahakamani ushadi tosha utatoka kwao sasa sijui wanataka wazidi kummaliza kwa kumuoga baada ya kutafuna pesa zake na walichomuahadi uraisi hakuupata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.