Recent content by Edudue

  1. Edudue

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Sema ktk hii story ww mwenyewe unao ekana ndezi na mapenzi yake yashakulewesha hujiwez yaani endelea kuhangaika nae. Binafsi km ningekuwa mm ningeshapiga chini tangu alipozingua first time. Huyo mwanamke hiyo ndo hurka au tabia yake na tabia ni km ngozi ya mwili huwez kuibadili mzee huyo ni wa...
  2. Edudue

    Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

    Akitokea mtu akakutukana hapa utasema anakudharau
  3. Edudue

    Nimemfukuza shemeji yangu baada ya kuja nyumbani kwangu bila taarifa

    Vipi ikitokea mamaako au mdogo wamo nae laja bila taarifa??? Just assume, vp utamfukuza??? Nilivyoelewa nikuwa una roho ya ubinafsi sanaaaa so selfishie ndomaana unasema ww ndugu zako wote wastaarabu huwa hawaji bila taarifa. Badilika mkuu
  4. Edudue

    Je, unaweza kulala kwenye chumba pamoja na watu wawili wanaofanya mapenzi?

    Daaaahh umenikumbusha Nyamwihula huyo mhaya alikuwa na nyodo za kishamba sanaaa😂😂😂
  5. Edudue

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu kuwa makini sanaa uzoefu wangu mdogo unaonesha huyu dada ana kisasi na dem wako eidha wamezinguana so anatafuta nafasi ya kumkomoa sio rahis dem anajua kabisaa unakula hapo jiran then afosi kingi kwa kiwango hicho ili tu umle so jipange kuna kuja kulipukiwa na bomu soon
  6. Edudue

    Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Unadhan ukikwambia ukweli itasaidia nn?? Kifupi binti hana msimamo na mpaka kufikia hapo inaonesha dhahiri binti moyo wake ushageuka na hauko upande wako tena mwanamke akishafikia hatua hiyo usijaribu kumlazimisha kugeuza moyo wake tena yatakukuta makubwa zaid. Huyo tayari sio wako mwache aende...
  7. Edudue

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu jukwaa halijaundwa kwa wanaume kusifiana hili
  8. Edudue

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bar maid hana kimasihara bana 😂
  9. Edudue

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaaahh huwez jisifu kula Bar maid aisee hao wote ni malaya tu nakumbuka nlishawahi mwagia matusi Bar maid mmoja kisa nimemwambia nataka nimle eti ananambia ww kaka umenichukuliaje anataka nimtongose dizain nimgaramie salon kama dem wangu nkamwambia ww pumbavu nn yaan ww Bar maid wa kugongwa na...
  10. Edudue

    Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

    Hajuelewi huyo. Nadhan ni aina ya wale wanawake wanaojua mwanaume yupo kumuhudumia tu mpaka nguo za ndan na hela yake ni ya salon na kununua nguo ila ya mwanaume ni ya kulisha familia kufungulia mirad na kulipa ada za watoto akili za kindez sanaaa hizi za mtoa mpost. Huenda hana shule hana...
  11. Edudue

    Mapenzi bwana

    Wakuu shule zifunguliwe hawa watoto waende shule. We dogo tumia huu mudabwa likizo kwenda tuition usifuate ushaur wa Ndalichako elimu ya Tz inamtambua aliefaulu mtihani pekee iwe kwa uelewa au kwa kukariri au kwa kuiba mtihani. Ila mwenye uelewa mkubwa wa maarifa na akafeli mtihani basi mfumo...
  12. Edudue

    Sio kila mwanamke anayekuambia hakutaki anamaanisha

    Mkuu hapa usijione mwamba kwa lolote huyo demu hakupend hata nukta yaan hapo alikuwa na mtu walokuwa wanapendana sasa kapigwa chini na hana selection nyingine ndo unakuja kunblockiwa ww leo sasa baada ya miez mitatu. Jiangalie sanaaa ukute anataka hata kukupakazia mimba. Sasa wewe endelea...
  13. Edudue

    Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Hapana wala sikutaka kudai chchte yy alinieleza mkasa mzima ulivyokuwa wakat anatoka nae alikuwa fresh financially na wakat huo hata mm nlikuwa napiga japo nilipiga mara moja tu maana nlikuwa sikai huko nlienda likizo ya mwisho wa mwaka sasa mpaka anapata mimba na kuja kujifungua jamaa aliyumba...
  14. Edudue

    Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Hiyo kawaida sanaa mkuu wala isikuumize kichwa piga chini sahau garama zote songa mbele pesa zinatafutwa tu wa sio issue. Binafsi ishawahi nitokea na nikahudumia mtoto na mamaake karibu miaka miwili ikaja bumbuluka mtoto sio wangu kumbe dem aliona mwenye mzigo huduma hawez akaleta kwangu mi sina...
Back
Top Bottom