Katika Ulimwengu huu Wanadamu tuna nafasi ya kuishi katika Roho na Mwili pia unapokuwa katika Roho actively(sababu Ulimwengu huu ndio unatangulia mbele ya muda wa maisha yetu ya mwilini) basi unaweza itumia sehemu wengi waniita Six sense ambayo utaona vitu vinavyokuja mbele Yako au Matukio...
Ukiwa mkubwa lazima uwe mvumilivu, wanasemaga waswahili ukubwa jalala, ila usioneshe kufadhaishwa jikaze ukionesha unafadhaika utakielea hicho kiburi cha mdogo wako.
Pili jitie moyo msapoti huyo mdogo wako kwa vitu vidogovidogo usijiweke katika mashindano nae
Halafu shirikisha wazazi...
Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia.
Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
SAIKOLOJIA: KUPAMBANA KUSHINDANA CHUKI
Katika somo la leo najaribu kuangazia Saikolojia ya kuhusu chuki ambao katika Ulimwengu wa leo uliotaharuki kwa visasi na ukatili kutokana na tatizo hilo.
Lakini kuhusu chuki si kwamba tu imekuwepo katika ulimwengu huu tu ni jambo ambalo limekuwepo kwa...
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.)
Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho.
Katika sehemu ya kwanza tuliangalia
Tafsiri ya Anxiety...
kuwa na Hofu ni kawaida mfano Hofu ya Mungu tunasema ni normal lakini Woga wa Mungu ni abnormal
Machale huambatana au kubeba tahadhari katika tendo au uamuzi na sio uoga au kuogopa
Wasiwasi soma nimeelezea vizuri ktk tafsiri na mifano yake ila unapoendelea ndio huzaa woga
ni misamiati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.