Nafasi ya serikali katika kulinda usalama wa wananchi wake ni mdogo sana. Inawezekana, serikali inaongoza kwa namna ambavyo wananchi wake wanataka.
Laiti kama wananchi wanahitaji mabadiliko na hawapendezwi na namna serikali inavyofanya mambo yake, basi uamuzi wanao wenyewe.
Sawa, usalama wa raia umeongezeka kwa kiwango ambacho kimetajwa, Je kuhusu hizi issue zinazosikika za utekaji na utekwaji hazionekani kama dosari zinazochafua usalama wa raia?
Au usalama tunaouzungumzia tu, ni ule wa mipakani? Tukumbuke neno usalama halitumiki kimwili tu bali hata kiroho...
Kama unadhani Tanzania itakombelewa na watu tofauti na wewe,unajidanganya.
Nashangaa vijana wengi wanasubiri watu wawapiganie haki zao za msingi. Hapa tunahitaji mapinduzi.
Tunadhoofishwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuwa tupo kwenye mstari ili mambo yaende. Hayaendi hivi. Tuache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.