Recent content by Edson david42

  1. E

    Natafuta Mashamba ya kununua Morogoro

    sawa ntashukuru sanaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Natafuta Mashamba ya kununua Morogoro

    niko nane nane bro Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Natafuta Mashamba ya kununua Morogoro

    sina uenyeji wa kutosha hapa morogoro lakin nahitaji shamba lisiwe mbali sana kutoka morogoro mjin..... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    Natafuta Mashamba ya kununua Morogoro

    Habari wana JF, Nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    dah yan hilo tatizo lako ndo kama langu kabxa mkuu
  6. E

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    dah hilo tatizo ndo linalonisumbua mpk xax la kumchukia mzee wngu kwa sababu kama hiyo yako nimeamin akina mama hupigania mafanikio ya watot wao mpk dk ya mwisho
  7. E

    Invest in yourself through reading books

    nitumie kwny email yangu vtanifaa xna edsondavid226@gmail.com
  8. E

    Invest in yourself through reading books

    mkuu naomba link ya hivyo vtabu
  9. E

    Kwa matokeo haya naweza kuchukuliwa DIT kwa course ya bio electrical engineering?

    nimehitim kidato cha nne mwaka 2016 na kupata div 2.18 kwa matokeo haya phyz C chem C bios B math D kisw C eng C Geo C Hist B Civ B mchango wenu plz
  10. E

    Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

    hao wachawi wapo geita au shuleni?
Back
Top Bottom