Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

nashukuru Sana mkuu
Sasa ukitaka Form, kama upo DSM nenda Msimbazi Centre utakuta Kila aina ya Shule...

Ila kwa shule za Catholic(Nilizokutajia hapo juu) hakikisha ufaulu wako wa Form Four upo vizuri angalau kama umefeli sana uwe na Div 2
 
Back
Top Bottom