Recent content by edryc

  1. edryc

    TRA yamwaga nafasi za kazi kibao

    Appitude test?????? Ndio test ipi mbona unatuchanganya wenzio. Au unamaanisha APTITUDE
  2. edryc

    TRA yamwaga nafasi za kazi kibao

    Appitude test???????? mbona unaandika English yako unawachanganya wenzio....andika kiswahili baasi.
  3. edryc

    Ukombozi wa South Africa

    Much Thanks nimekupata
  4. edryc

    Ukombozi wa South Africa

    Wanajamii kama kuna mtu anazijua movies zinazohusu ukombozi wa SOUTH AFRICA anisaidie coz kuna issue nataka nijifunze kutokana na hizo movies... Bt mimi nazijua movies mbili tuu nazo ni 1.CATCH A FIRE na 2.SARAFINA
  5. edryc

    Chadema yangu

    Labda tuongeze VIFARU na TRENI ili tuweze kuwashawishi wapiga kura coz kuzuga na CHOPA Mwananchi kama hawatuelewi hivi.
  6. edryc

    Natural beauty

    una lako jambo, ambacho hujaelewa hapo nini??? kama wigi linakuhusu basi ujumbe umekufikia akina wewe na wenzio.
  7. edryc

    Natural beauty

    Hii wengi hawatachangia maana ulivyowachoma hadi wanatamani wakuendee kwa mganga
  8. edryc

    Msaada swali la interview

    Mkuu physics kwangu ilikuwa mtihani ndo maana nkakimbilia biashara.
  9. edryc

    Msaada swali la interview

    Ok nmekuelewa
  10. edryc

    Msaada swali la interview

    Ok nmekuelewa
  11. edryc

    Msaada swali la interview

    Wanajamii naomba mnisaidie majibu ya haya maswali coz nlihudhuria interview moja na nikaulizwa maswali yenyewe ni haya 1. If you were shrunk to the size of a pencil and put in a blender, how would you get out? 2. What do WOOD and ALCOHOL have in common?
  12. edryc

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Me mgeni jamani so Anyone single here???? ili tuwe pair and ready to fly.
  13. edryc

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mimi sikuchanganyi, unajichanganya mwenyewe.
  14. edryc

    Msaada Kwenye CV Unahitajika

    Nashukuru kwa msaada wenu
  15. edryc

    Msaada Kwenye CV Unahitajika

    Wanajamii naomba mnisaidie kujua kama ni sahihi kuwaweka REFFAREES wote watatu(3) kutoka Organisationi moja. Yaani reffarees wote watatu(3) wanafanya kazi kwenye organization moja.
Back
Top Bottom