Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Jay ambe

Mkabe mpaka atapike

Jeshi la mtu moja

Chizi kapewa mke

Chizi kaowa

Acha mchepuo baki njia kuu
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..

Tatizo Shule..
 
Back
Top Bottom