Recent content by Edon 666

  1. Edon 666

    NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Kazi ipooo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Edon 666

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kula tunda tu la kati kimasihara c mara mojaa nshakula sanaa na c mara Moja na ntaendelea kula sanaa maana cku hz madem njaa inawaponza sanaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Edon 666

    Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

    KATAA NDOAA NI UTUMWA Lea wtt wako vyemaa na uwatengenezee mazingiraa matamu waje wajue thaman ya baba maana mama yao alikukabithi ingali anajuaa ww n baba boraaa,,, Una hya miaka toka utoke kwenye manyanyaso leo tena wataka kujiingiza kwan uwezi mlaa huyo mwalimuu ukapitaa hv na wtt Wako...
  4. Edon 666

    Sonona! imenielemea. Msaada!

    Uanaumee ndio huo mkuu km unasali bac Sali sanaa na ukiamini yatapitaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Edon 666

    Kwa niliyoshuhudia leo. Jamani tuwaheshimu sana Hawa watu. Tusije pata dhambi za bure tu

    Hata Dstv walianza km Azam ,muda utaongeaa nao Azam watakuwa km Dstv na Dstv itakuwaa zaidi ya Azam n swala la mudaa.hata ww ufanani na jiran yako kimapato wala ulaji wako cha msingi kila mtu aplay nafac yake hapo alipo ss,,,DSTV +AZAM Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Edon 666

    Kuna sababu ya kuishi na mwanamke kama huyu?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]c swala la kuchekaa ilaa poleee mkuu, Kapime na ukimwi mkuu. KATAA NDOAA NI UTUMWA Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Edon 666

    Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Amfuatee mwenziee Kimaro likizo isiyo na kikomoo..... Ila shehe siku si nyingi atakuja na tiba yake mbadala kwenye tv, radio na mitandao na atapiga watu helaa na maisha yataendeleaa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Edon 666

    Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kazi iendeleee ..... Hata maharagee bei ifike 10000,mm nikiongea huku mtandaon ntabadilisha bei au ndio bei itaongezekaa km wenye magari walivyopiga kelele za petrol kupanda lkn hkn kilichobadilishwa na hakuna aliyepaki gari yake kisa petrol kupandaaa na maishaa yanaendelea... Sent using Jamii...
  9. Edon 666

    KIKAO CHA MABAHARIA: Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa

    Madaa hii inawahusu watumwaa wa ndoaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nawaonaa ndugu zangu mnavyotesekaa kumbee mpk ukimpakiza mtu siti ya mbelé wakee zenu wananunaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haki kazi mnayo mnaojifanya waoajiii [emoji867][emoji867][emoji867]...
  10. Edon 666

    Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia

    Elimuu elimu inamsaidiaa na maisha ya mtaa aliyokuliaa piaaa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Edon 666

    Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia

    Asingewezaa kumaliza mattz yt kwa muda aliokaa palee ,hata km angeka miaka mia bd kuna ambavyo vingekosekanaa ,,,alipofanya panatosha ajae nae aendeleze alipoishia NICKSON.... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Edon 666

    Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia

    Ulisikiaaa wap mtu kakataa kazi mkuu... Njaa n shujaa kuliko maneno ya CTAKI KAZI.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Edon 666

    Nigonge vizuri mimi boss wako

    Ulikumbukaa ndomu mkuu au ndio kumpelekea mwanaume mwenzio mtt c wakee akamleee maana .... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Edon 666

    Unaweza kupata mwanaume wa kukuoa ambaye hatakushawishi ufanye naye ngono kabla ya ndoa

    Na ndoa zao hazidumu na zikidumu wanapitia mateso makalii nakuja kuanzishaa mada kila cku uku jf kuhusu ndoa zao kisa walioleaa genje.... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom