Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,211
.
 
Attachments

  • Screenshot_20230202-192813_1.jpg
    Screenshot_20230202-192813_1.jpg
    28.6 KB · Views: 28
Mheshimiwa Nikki wa pili ameaga Kisarawe na kwenda kibaha. Mkuu wa Wilaya huyu ameacha Historia Kubwa kwenye wilaya ya Kisarawe.

Kisarawe kwa kipindi Cha muda mfupi sana kuna Maendeleo makubwa mno, amemsaidia kazi ipasavyo mama yetu na raisi wetu mpendwa SSH. Kisarawe uchumi umeimarika mno ndani ya muda mfupi sana.

Chini ya mkuu wa Wilaya Nikki wa pili, miradi ya Maendeleo Kisarawe imekuwa mingi Sana ambayo imeleta tija kwa nchi na wananchi. Kisarawe imekua kitovu cha Maendeleo kanda ya pwani, wawekezaji mbali mbali wamevuta sana.

Wakati akiaga Kisarawe, viongozi Wenzake wa wilaya wameishindwa kujizuia na kuanza kulia wakikumbuka makubwa ambayo ameyafanya.

Viongozi vijana aina hii ndio tunaotaka, ni mfano wa kuigwa. Ni vyema pia hata vyama vingine nao waanze kutengeneza viongozi aina hii. Sio chama kinakua na watu aina ya pumbalu, mara sijui mdude.

#kazi inaendelea# SSH 2025# Hakuna kilichosimama
View attachment 2504001
Binafsi na mkubali yuko humble na mweledi sana
 
Kuna vitu vingine mnajiuliza kuhus maendeleo wakati majibu yako wazi tu. Niki atalaumiwa tu haya maendeleo Kuna watu yamewaacha nyuma
 
Tulowahi ishi kisarawe tunaijua vizuri sanaa
Kisarawe haitakuja endelea leo wale kesho.

Mzee wangu mmoja siku moja aliwahi tuuliza mnajua kwanini pale maeneo ya stendi pana nyumba za udongo mpaka leo?
HAtukuwa na jibu,akatupa sababu.
Tupe sababu tufahamu, nilisoma Advance pale Minaki..

Kisarawe ilikua sehemu ya kutembea na kurefresh kidg.
 
Mheshimiwa Nikki wa pili ameaga Kisarawe na kwenda kibaha. Mkuu wa Wilaya huyu ameacha Historia Kubwa kwenye wilaya ya Kisarawe.

Kisarawe kwa kipindi Cha muda mfupi sana kuna Maendeleo makubwa mno, amemsaidia kazi ipasavyo mama yetu na raisi wetu mpendwa SSH. Kisarawe uchumi umeimarika mno ndani ya muda mfupi sana.

Chini ya mkuu wa Wilaya Nikki wa pili, miradi ya Maendeleo Kisarawe imekuwa mingi Sana ambayo imeleta tija kwa nchi na wananchi. Kisarawe imekua kitovu cha Maendeleo kanda ya pwani, wawekezaji mbali mbali wamevuta sana.

Wakati akiaga Kisarawe, viongozi Wenzake wa wilaya wameishindwa kujizuia na kuanza kulia wakikumbuka makubwa ambayo ameyafanya.

Viongozi vijana aina hii ndio tunaotaka, ni mfano wa kuigwa. Ni vyema pia hata vyama vingine nao waanze kutengeneza viongozi aina hii. Sio chama kinakua na watu aina ya pumbalu, mara sijui mdude.

#kazi inaendelea# SSH 2025# Hakuna kilichosimama
View attachment 2504001
Kudadeki Niki wa pili acha mbwembwe basi, acha kujisifia sana mwanangu, asee unajipaga mapromo kinoma
 
Back
Top Bottom