Recent content by Edobeny

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

    Hii mada naomba iishie hapa.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

    Pamoja
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

    Ok! 1. Kigezo cha kwanza na kikuu lazima awe idarani. Ikionekana kuna mtu anafaa zaidi nje ya idara ie JW,jkt au polisi basi lazima aingizwe idarani kwanza then anakabidhiwa jukumu. 2. Vigezo vingine kuna mdau kavitaja hapo juu ila cha muhimu zaidi kuna veting ya wakuu ndio inayodetermine...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

    Walinzi wa raisi ni wengi na kawaida raisi analindwa kwa cycle. Hii cycle inaweza kubadilika kwa shift. Kwenye hii cycle wapo wanaoonekana public na wasioonekana. Sasa ww kuwa specific unataka sifa za ADC au hawa wengine ? NB: Ushawahi kusikia ajira ya udereva wa raisi au mpiga picha wa raisi...
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya kushangaza kuhusu ugunduzi wa kondom

    Msijishushe w/ke usiseme walikuwa WANAFANYWA ila WANAFANYANA sawa mama ?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Kwa kweli haikuwa kauli ya heshima kabisa na hii inaleta picha mbaya kwa watanzania kujua kuwa 1.makamu wa raisi wangu ni makapi 2.waziri mkuu nae 3. Mawaziri wengine 4. Majaji Hii inaashiria serikali yote ni makapi
  7. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    Kibo wapi, Lounge au Club 71 kwa Wema Sepetu?
  8. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    Hiyo ni Arusha sio tegeta, tegeta hakuna kwa mromboo
  9. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    Unaishi kota za wazo ?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Waziri Mkuu Pinda hana maadili?

    Jaji nae hakuwa na maadili?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi wa kitaifa: Kwanini iwe na mwendokasi ule?

    Chunguza na hili , kwenye msafara hasa wa raisi sio magari yote yanakuwa kwenye mstari kuna kama mawili hivi huwa yanatembea parallel kama mmoja anataka kumovertake mwenzake. By the way ngoja niachie hapa
  12. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    Family bar , the best kitimoto I hv ever seen
  13. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

    Hahaha! Brazil amazing
  14. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

Back
Top Bottom