Recent content by Edmond

  1. Edmond

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    Tunawapa hivyo hivyo, nyie wenye akili mmeifanyia nini TZ?
  2. Edmond

    Omary Kimbau ahama CCM na kujiunga CUF

    Kiboko ya mchwa
  3. Edmond

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Usikate tamaa mzee, wao ni viongozi tu, wenye maamuzi ya mwisho ni sisi wananchi,kwahiyo jitokeze kapige kura tufanye mabadiliko.
  4. Edmond

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Kwa jinsi nilivyoichoka CCM, hata kama UKAWA wangeweka jiwe, ningelipigia kura tu, hamna namna nyingine
  5. Edmond

    Chama cha CUF hatarini kutoweka (total distinction)

    Acha ramli chonganishi wewe.
  6. Edmond

    Kelele zote za nini wakati wenye CHADEMA wameamua!

    Hii single imeshachuja toka mwaka jana, njoo na single ingine
  7. Edmond

    Ni wapi Serikali imefanikiwa kwa asilimia 100?

    Kupiga hela za walipa kodi 100%
  8. Edmond

    Kwa hali hii ngumu ya uchumi, bora nife nikapumzike

    Utakuwa umefanya jambo la maana sana, kwakuwa ukifa hutahitaji chakula wala nini, RIP ndugu
  9. Edmond

    ESCROW ni Upepo Unaopita kwa kasi ya 1000km/h

    N wewe unadanganyika kirahisi hivi?changanya na zako usiwe kama mbayuwayu
  10. Edmond

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Kwani ndugu zangu mlitegemea serikali ikubali kirahisi tu hizi tuhuma?,hata ningekuwa mimi ningekanusha kwa nguvu zote
  11. Edmond

    Lema: "Serikali inaonewa"

    Hata kama zipo ni kwa kiasi gani ukiringanisha na nchi yetu?
  12. Edmond

    Mjumbe wa Baraza Kuu CUF ajiuzulu; Awatuhumu viongozi wake ( UKAWA Effect)

    Kwani wewe siku hizi umekuwa msemaji wa vyama vya upinzani?,maana kila jambo la upinzani likitokea wakwanza kuandika,mbona hayo ya CCM huandiki?
  13. Edmond

    Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    Mbona unakuwa mkali sana??,huna nini?,maana unalialiaaa, wewe mjibu mtoa hoja kwa hoja acha kutoa machozi
Back
Top Bottom