Omary Kimbau ahama CCM na kujiunga CUF

Omary Kimbau ahama CCM na kujiunga CUF

Kimbau huna lolote mafia hawakutaki unathubutu kubeba mashoga akina anti K kuwapeleka kufanya ufirauni mafia!!!
 
Nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali.....

Na ubaya unakuja mara baada ya kukataliwa ndio wale wabaya si watu wazuri na kadhaa wa kadhaa..


Ni mtaji huo jaman tunahitaji kura yake na familia wake na atakaohama nao na followerz. Wake wa instagram nadhan rais wetu atashinda maPema tu sis tuwapokee tu kwa sasa
 
Kimbau nae anafuata mkumbo kama nyumbu..watu walishamkataa miaka kumi leo anataka kurudi tena
ID zingine ni vichekesho!usimchanganye na baba yake Ayubu Kimbau ndio alikua Mbunge wa Mafia.
 
Back
Top Bottom