Recent content by Edgar Bisoo

  1. Edgar Bisoo

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Wakuu... Mimi ni barber, nahitaji kwa yeyote mwenye mchongo wa barbershop aniunganishie. Nina uzoefu wa kunyoa style na aina tofauti za nywele. Napatikana dar es salaam. Kama una duka na unataka barber au unafahamu mtu anahitaji barber tafadhali wasiliana nami ili tupeane michongo. 0782821041
  2. Edgar Bisoo

    Natafuta kazi ya salon/barber shop

    Mimi ni kijana wa miaka 36/7 ninaishi dar es salaam. Ninatafuta kazi ya barber shop. Uzoefu wangu ni miaka 6 japo niliacha kwa muda. Pia nina wazo kubwa la biashara ambayo ina mfanano ya mambo kama hayo ya salon na urembo. Natanguliza shukrani.
  3. Edgar Bisoo

    Nahitaji mwanamke atakaekuja kuwa mke wangu

    [emoji2][emoji2][emoji2]
  4. Edgar Bisoo

    Nahitaji mwanamke atakaekuja kuwa mke wangu

    Usinambie kuwa watu wote wana tabia moja
  5. Edgar Bisoo

    Nahitaji mwanamke atakaekuja kuwa mke wangu

    Kama wewe ni muhusika basi husika na kichwa cha habari. Mimi ni kijana wa miaka 36, na ni baba pia wa mtoto mmoja wa kiume. Nilikimbiwa na mwanamke baada ya kuyumba kiuchumi na mpaka sasa bado sijakaa sawa. Kama nitapata mwanamke ambae ataweza kunipenda nikiwa siko vzr kiuchumi hataacha...
  6. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Hili ni tatizo kubwa sana kwa kizazi na jamii kubwa ya africa
  7. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Kiukweli siwezi kuelekeza lawama au kumnyooshea mtu kidole kwamba amehusika na anguko langu kwa kuwa sababu ziko wazi. Kwa hiyo mkuu sikuungi mkono katika haya mawazo yako lakini pia sikupingi.
  8. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Sikua nabangaiza mkuu, nilikua napata pesa kutokana na vyanzo vinavyoonekana na sio deals za kuzuka. Na nilijijenga kwa muda kufikia hapo ndio maana nasema nilikua kwenye middle class economy. Hata hivyo nashukuru kwa hamasa.
  9. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Ndugu yangu hatuwezi kulaumu wanawake kwa ujumla wao, lakini baadhi yao ni kama watoto. Mtoto anahitaji huduma tu hawezi kuelewa kuhusu mabadiliko yako ya kiuchumi au hali yako mbaya ya kila siku.
  10. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Hakika mkuu, afya na uhai ni baraka tunayoihitaji sana.
  11. Edgar Bisoo

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Mkuu upo res sana kwa haya maswali yako[emoji3][emoji3] Anyway, huyu mtoto sikuzaa na huyo mwanamke alienikimbia.
Back
Top Bottom