Edgar Bisoo
Member
- May 19, 2021
- 28
- 51
Mimi ni kijana wa miaka 36/7 ninaishi dar es salaam.
Ninatafuta kazi ya barber shop. Uzoefu wangu ni miaka 6 japo niliacha kwa muda.
Pia nina wazo kubwa la biashara ambayo ina mfanano ya mambo kama hayo ya salon na urembo.
Natanguliza shukrani.