"Nitashiriki ktk mdahalo wa wagombea Urais, nawaahidi, na sitawaangusha"
Ahadi ya Magufuli. Tutambue ya kwamba alichosema Lowassa kuhusu kura ni kwa watakao mpigia kura, Magufuli alituahidi watanzania wote kiujumla!
Amani ambayo manufaa yake mmeyaona ninyi, koo zenu pamoja na mahawara zenu? Kwa nini mnapenda kuwadanganya raia? Amani hii ni matunda ya CCM 100%? Au ni kasumba ya Watanzania kusema hewala kwa kila jambo? Sawa, naweza kusema 85% ya misingi ya Amani iliwekwa na Utawala wa Mwalimu Nyerere (akiwa...
Asa mwanzo nilikusoma fresh nikakuelewa na nikavutiwa coz na mimi nahisi na chapa mbili ( ya kimungu na kuzimu) but ulivyoingiza siasa ukanipoteza mazima.....am truly hate politics!!
"I trully hate. ,,, NOT am trully hate"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.