Recent content by eddybr

  1. E

    Reli ya Kenya yaanza kupumulia mashine

    Sio mazuri, bila shaka ni kutokana na uajibikaji mbovu wa viongozi wetu , Africa. East Africans tusikubali
  2. E

    It's my birthday

    Happy birthday my pacha!!
  3. E

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Best thing ni kujiorganise mfike 100+ You are lucky you have time. Sisi(lake zone) ni kama tumepata habari kwa kushtukizwa wake up and make use of the opportunity mji motivate na kijihhamisisha mapema ikija zamu yenu mnajikuta mpo ready[emoji3] [emoji3]
  4. E

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Thanks bro, pamoja I will make sure we this thing is understood and accepted to whoever I know. Esp. The closest. It always begins with one, and progresses with the next one , I am never shaken now[emoji123]
  5. E

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Boss there is a group, Linaitwa lake zone Forex team , please confirm kama unalijua na kama upo kwenye process ya kuja mwanza with your team, by 9th october
  6. E

    Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    Mi naamini na nna uhakika watakua wanapigwa pesa tu na kuambiwa wakae kimya. . . haiwezekani wawe hivyo
  7. E

    Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    We jamaa ni taahira. The only way wewe sio taahira ni kama hsujasoma vixuri hiyo post na kuelewa
  8. E

    Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    Serikali always ni corrupt, coz most viongozi na wenyedhamana wengi serikalini ni corrupt. Labda uarabuni na huko China. Nawashangaa wanao dhani ukiweka kiongozi Fulani eti corruption itaisha, worst kwa mfumo wa serikali ile ile, , ha ha. a. .
  9. E

    Waziri Mahiga asema Tanzania imeshtushwa na tuhuma za kushirikiana na Korea Kaskazini na atazijibu kwenye mkutano wa UN

    Sababu ni kwamba kihistoria tulikua na mahusiano mazur kwa Muda mrefu , hasa kipindi cha mwalimu. Hivyo wazir kajibu kudiplomasia kwamba tumepunguza tangy 2014. Which means bado yapo. Kama angekana hatuna kabisa na ushahidi upo/uwepo kwamba tunayo . basi hapo angekosa pa kutokea pale ambapo...
  10. E

    Dar: Kamanda Mambosasa azungumzia hali ya uhalifu unaoendelea nchini

    Nimefurahishwa na tukio la kwanza, wamemkamata wamepata mda wa kumuhoji na akaweza kuwapa taarifa zote hizo walizoainisha. Ila alikufa kwa kutokana damu nyingi japo walijaribu kumkimbiza hospitali. Mda woote huo waliopata kumuhoji walishindwa kumfikisha hospitali kwanza, au walikuwa wakimuhoji...
  11. E

    Hospitali ya KCMC yakumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha

    Da we jamaa siwezi pinga baadhi ya hoja zako kwasababu sina ushahidi wa kupinha hizo hoja Hasa zile ambazo umesema umepata nafasi ya kuona vielelezo. Hata hivyo kwa sababu hujaweka hivyo vielelezo hapa. Ambapo kusingekua na wa kuvipinga basi hata hizo hoja bado siziamini . Na kama baadhi...
  12. E

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Really?? Nakutana nao and we all happy that we doing well. Wangekuwa kwenye shape nyingine nna uhakika nisingekua happy
  13. E

    Najiuliza, kwanini dereva wa Lissu hakugeuza gari

    Yaaani wewe ndio umetoa jibu zuri. Hasa hapo juu. Huku chini za kwamba angeenda mgahawani sijui ni mazungumzo baada ya habari. Simjui aliyeanzisha Mada ila nafhani angekua yeye ndio dereva angrshuka na kukimbia kabisa. Mfano mzuri nikiwa mdogo Kuna boss mmoja tulikua nae kwenye Gari yake na...
Back
Top Bottom