Recent content by eddy27

  1. eddy27

    JamiiForums Tanzania Uaneni!!!!

    RC7: ndugu yangu mwaka huu 2015 tuzo ya mchezaji bora ulaya yako MESSI: aaah! braza co kweli kabisa kwann? CR7: umetoa mchango mkubwa sana MESSI: sawa ila naimani 2016 itarudi kwako maana dah! CR7: vipi tena mbona una hofu?! MESSI: kila unavyo zeeka na kiwango kinaongezeka CR7: ha ha ha messi...
  2. eddy27

    JamiiForums Tanzania UKUTA

    Tarh 1 wa 9
  3. eddy27

    JamiiForums Tanzania UKUTA

    WALE WA UKUTA TUKUTANE KWENYE TV
  4. eddy27

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo amechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ulaya

    Alie nacho huongezewaaa
  5. eddy27

    JamiiForums Tanzania Tarehe 01/09/2016 wakati wanaenda kufanya mikutano sie tukafanye kazi kila kijiji na kila kata Tz

    Ha ha haaaaa...... Kwa sasa nipo mkoani Geita wilayani chato cha kushangaza ni kwamba hawajui lolote juu ya UKUTA..... Nimemuuliza mmoja ni kwa namba gani amejiandaa na ukuta kajibu ... Ukuta wa nyumba IPI...
  6. eddy27

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Shirikisho kati ya TP Mazembe Vs Yanga

    Hongera kwa kushirikiiiii... Simba Oyeeeee.....
  7. eddy27

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Michache mienendo ya baadhi ya vyama vya siasi nchini Tanzania ni balaa..... Kwa sababu inahamasisha vita eti inadai demokrasia ila vikiwa na lengo la kuchukya mamlaka kwa nguvu zote. Vishindweeeeeee!!!!!!!
  8. eddy27

    JamiiForums Tanzania Kakosa Penarti mbili....kafunga hattriki......

  9. eddy27

    JamiiForums Tanzania Yangaaa Oyeee....

    Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
  10. eddy27

    JamiiForums Tanzania Yangaaa..... Kombe liko palepale...

    Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
  11. eddy27

    JamiiForums Tanzania Mahari inawatesa wengii

  12. eddy27

    JamiiForums Tanzania Mahari inawatesa wengii

  13. eddy27

    JamiiForums Tanzania Ushawahi?

    Na Dada anajibu... Mtoto amelala!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  14. eddy27

    JamiiForums Tanzania DHAMBI

    9 Kwa maana kila mtu amlaaniye baba yake au mama yake hakika atauawa, amemlaani baba yake na mama yake; damu yake itakuwa juu yake. 10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. 11 Na mtu mume...
Back
Top Bottom