Recent content by eddy16

  1. eddy16

    Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

    Staki kuamini Kama bunge halina taarifa za kuvuliwa uanachama kina Jesca na wenzake, ila wakumbuke tu kuwa hi ni awamu nyingine kabisa. Kuna kila dalili wanaweza kutimuliwa mjengoni
  2. eddy16

    UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

    Hapo kwa mkalimani mama umenikonga moyo yaan ile ile! Heko
  3. eddy16

    Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Tanzania hatuna corona tuna ka ugonjwa kadogo tu kanaitwa changamoto ya upumuaji![emoji23][emoji23][emoji23]
  4. eddy16

    Wakazi wa Mbagala tuna tabu

    Mm nadhani shida kubwa ipo kwenye usimamizi wa mkandarasi, kuna mda anajenga then baada ya siku ya 2-3 anabomoa af anaanza upya kama hajiamini na kazi yake ka imefika kiwango bora
  5. eddy16

    Hot story

    hivi hii story ya sorry madam imeishia wap??? maana nltmba skonga krd siion kama kuna mt anafaham chochote pls anijulshe fb eddbrown gasper
Back
Top Bottom